Kama utahitaji ufafanuzi zaidi piga simu au tuma ujumbe mfupi wa maadishi 0753121916 au 0620669137 utapewa ufafanuzi zaidi.
Wanafunzi wa Chuo cha Uandishi wa Habari na Utangazaji Eckros Njombe Tanzania.
Hapa ni wanafunzi wakiwa na mkurugenzi wa chuo pamoja na walimu.
Picha ya wanafunzi wakiwa na baadi ya wanafunzi waliokuwa wakihitimu mafunzo yao ya mwaka mmoja.
kwa kifupi chuo hiki cha Uandishi wa Habari na Utangazaji Eckros kinapatikana Mkoani Njombe na kipo Njombe mjini Katika kabisa ndani ya Uwanja wa Mpira wa Miguu SABASABA ukifika ingia geti namba moja utaona bango kubwa mbele yako.
Na chuo hiki kinatoa kozi mbali mbali kama ifuatavyo:-
- .Journalism and Mass Communication 1 Year Certificate
- Journalism and Mass Communication 2 Year Diproma
- Full Secretarial Stage I,Stage II and Stage III
- Ualimu wa Chekechea English medium 1 Year
- Certificate in Video production and editing 1 Year
- Customer Relation
- Basic Hotel Management 1 Year
- Elimu ya ujasiriamali 3 three months
- Udereva wa Magari.
- Kozi zote hizo ni kwa ngazi ya cheti na Diproma
- lakini pia wanafunzi wate wanao soma hapa udereva na computer wanajifunza bure.
- kwa kozi ya copture ambayo inatolewa chuoni hapa ni kama ifuatavyo:-
- Introduction to computer
- File management
- Email and Internet
- Application software
- Microsoft Word
Microsoft Excel - Microsoft PowerPointMicrosoft Publisher
- Microsoft Access
ADA ZA KOZI ZOTE NI NAAFUU SANA NA ZINALIPYWA KIDOGO KIDOGO NDANI YA MWAKA MZIMA HADI UNAMALIZA.
Services
Contacts
The Eckros School of Journalism is located within Njombe Region, near Nyamuyuya Primary SchoolTelephone Numbers:
0762 795 251
0653 795 251
Postal Address:
P.O Box 661
Njombe,Tanzania
East Africa
Email Addresses:
eckroscollege@gmail.com
pekepekemlelwa@yahoo.com
Website:
www.etctz.com
MKOA WA NJOMBE SABASABA NDANI YA UWANJA WA CCM
AntwoordVee uit