Woensdag, Februarie 07, 2018

MAHINDI YAUZWA SHILINGI 4800-3500 MKOANI NJOMBE

NJOMBE
Tokeo la picha la mahindiTokeo la picha la mahindi
Tokeo la picha la mahindi

Na  Chrispin kalinga

Wakazi wa Wilaya Njombe Mjini wailalamikia Serikali kwa kuchelewesha kufungua mipaka ya uuzwaji wa zao la Mahindi huku wengine wakisema kuwa wamecheleweshea kutafutiwa Soko la kuuzia mahindi hayo.

Tokeo la picha la mahindi

Moja ya mkulima Mkoani hapo amedai kuwa bei ya m,ahindi kwa sasa si rafiki kwa mkulima kwa sababu huuzwa kwa kilo Ishilini ni Shilingi 4800/= kwa wiolaya hiyo na baadhi ya wakulima huuza kwa shilingi 3500/=kwa kilo ishilini ili tu wapate Fedha ya kununulia pembejeo za kilimo ikiwemo mbolea.



Hata hivyo wakulima hao wakazidi kusema kuwa bei ya mbole kwa wilaya hiyo ipo juu ikilinganishwa na bei elekezi ilioyo pangwa kisheria wakadai kuwa mbolea huuziwa kwa shilingi 60.000/= na kuna baadhi ya wafanya biashara huuza zaidi ya bei hiyo.
Tokeo la picha la mboleaTokeo la picha la mbolea

Hali kadhali wafanya biashara wa mkoani hapo wamezungumza na chrispinkalinga blog kuwa ni kweli bei ya zao hilo la mahindi ipo chini yote hiyo husababishwa na wingi wa mahindi yaliyopo mkoani hapo .

Na akaongeza kwa kusema kuwa wakulima wengi huuza mahindi kwa bei ya chini yote ni kwasababu ya ukosefu wa pembejeo za kilimo wengi wao hutegemea kuuza mazao ya mwaka ulio pita ili kuwezesha mazao ambayo yapo mashambani .

Sambamba na hilo mfanya biashara huyo anaye nunua mahindi kutoka kwa wakulima akazidi kusema kuwa anaiomba serikali kusimamia bei za mahindi kwa wakulima kwa sababu wakulima hao wanazidi kuingia hasara kwa  bei zilizopo mtaani. 

Akaongeza kwa kusema kuwa wakulima wasife moyo kwa changamoto walizo kutana nao mwaka huu 2018 akasema wazidi kukaza moyom konde wenda mwakani bei ya mahindi itakuwa nzuri na yatanunuliwa kwa wakati mwafaka. 

jitihada za kumtafuta kiongozi wa serikali ili azungumze juu ya bei za pembejeo za kilimo ilikuwa kama ifuatavyo. 

Afisa kilimo  wa wilaya ya Ludewa ndugu Msuya akazungumza na chombo cha habari kuwa bei elekezi ya mbelea ipo kama ifuatavyo. 

Mbolea yurea mkoani njombe huuzwa kwa bei ya jumla sh.50,990/= na ikifika ludewa kwa kilo hamsini wakulima hununua kwa sh.55,296/=
vivyo vivyo mgawanyo hadi kwa kiwango cha chini.

Pia akaongeza kwa kusema kuwa kwa mfanya biashara yeypote atakaye uza mbolea hiyo nje ya bei elekezi hatua kali za kisheria zitachukuliwa dhidi yake.




Chrispiny kalinga blog

Geen opmerkings nie:

Plaas 'n opmerking