NJOMBE
Na chrispiny kalinga
Wakazi na Wakulima waWilaya ya Njombe katika Kata yaLuponde Mkoani Njombe wamezungumza na waandishi wa habari leo febr 02 juu ya zao la kiazi Mviringo kilichopo katika kata hiyo kwa madai
kinaitaji matunzo hususani ni wa madawa.
Hali kadhalika wakulima hao wamezidi kuongea Vyombo vya habari kuwa mwaka ulio pita haukuwa rafiki kwa zao hilo kwasababu mvua zilichelewa kunyesha na kuwasababishia hasara kubwa na kuingia kwenye madeni hasusani katika makampuni mbalimbali ya mikopo yanayo wawezesha pesa za kulimia na kuludisha baada ya mavuno.
Hata hivyo mkulima mmoja wilayani hapo anaye fahamika kwa jina la Erick Mlelwa amesema kuwa mwaka huu kiazi mviringo kinaitaji malezi kama mtu asipo kijari kiazi hicho asitegemee kuvuna kabisa.
Aidha akaweka bayana juu ya mashamba mengene ambayo yamekosa malezi kuwa ni uzembe wao wa kuto kuwa kalibu na masha yao hivyo hujikuta mwisho safari huzidi kulalamika kuwa kilimo hakina faida kumbe wao hukaa mbali na mashamba yao.
Pia mkulima huyo akazidi kusema kusema kuwa wakulima wa mazao mbalimbali wawe jilani na mashamba yao ili kuepukana na lawama zisizo hawaoni faida ya kilimo kumbe wao ndio wanashindwa kumudu kilimo kuwa na tija kwa madai.
Chrispiny kalinga blog

Geen opmerkings nie:
Plaas 'n opmerking