Saterdag, Februarie 03, 2018

Lulu Diva kufata nyayo za Michael Jackson?


Muimbaji Lulu Diva amedai kuwashangaa watu wanaomsema kwamba amebadili muonekano kwa kutumia dawa za kichina na kusema kwamba yeye atakuwa siyo mtu wa kwanza kufanya hivyo na kwamba hata mwimbaji maarufu

Korea Kaskazini yadaiwa kukiuka vikwazo


Ripoti ya waangalizi huru wa Umoja wa Mataifa imebainisha kuwa Korea Kaskazini ilipata takribani dola milioni mia mbili mwaka uliopita kutokana na uuzaji wa

Wanaofanya udanganyifu kwenye asasi za kiraia waonywa



Asasi za kiraia zimetakiwa kufuata taratibu kabla ya kutoa elimu ya ujasiriamali kwa wananchi ili kukwepa udanganyifu, ikiwa ni pamoja na kuwachangisha fedha na kutokomea

Kiongozi mwengine wa Upinzani akamatwa Kenya



Mbunge mwingine nchini Kenya, amekamatwa kuhusiana na mzozo unaozunguka kujiapisha kwa aliyekuwa waziri mkuu Raia Odinga kwa kile anachokitaja kama rais wa

Nchemba awataka wanaotoa vitambulisho nchini wawe makini



Waziri wa Mambo ya Ndani, Mwigulu Nchemba amewataka watendaji wanaosimamia usajili wa wananchi kwa ajili ya kupatiwa vitambulisho wa Taifa kuwa makini.

Akizungumza leo Februari 3, 2018 katika uzinduzi wa

Diwani Dar Aja Na Mpango Kunusuru Wananchi Wake


Diwani wa kata ya Salanga jijini Dar es salaam Harun Mdoe amekuwa na mpango mkakati wa mda mfupi na mrefu kuhusiana na barabara ambayo kwa sasa imekua kero kwa

Tume yaundwa kufuatilia korosho zenye kokoto


Serikali mkoani Lindi imeunda timu ya kuchunguza matukio ya baadhi ya wakulima kuchanganya mchanga na korosho kwa nia ya kuongeza uzito wakati wa kupima kwenye mizani,

Msanii Radio azikwa kwao Uganda


Msanii Radio wa nchini Uganda ambaye alifariki Februari 1, amezikwa leo kijijini kwao Nakawuka nchini Uganda, na kuhdhuriwa na maelfu ya watu kutoka sehemu mbali mbali za nchi hiyo na

Mkuu wa shule aingia matatani kwa kuchangisha michango



Sumbawanga. Mkuu wa mkoa wa Rukwa, Joachim Wangabo ameagiza mkuu wa shule ya sekondari Muhama manispaa ya Sumbawanga mkoani Rukwa kuchukuliwa hatua kwa tuhuma za kuwatoza wanafunzi michango ya Sh5,000 kama gharama ya

Watatu wafariki kutokana na baridi kali


Watu watatu waripotiwa kufariki  nchini Uswidi kutokana na baridi kali Kaskazini mwa Uswidi,Baridi kali katika eneo hilo la Kaskzini mwa Uswidi ilifuatiwa na theluji kali ambapo nyuzi joto ilikuwa 20 chini ya sifuri.

Rais Trump awasiliana na viongozi wa Japan na Korea Kusini


Rais wa Marekani Donald Trump amewapigia simu viongozi wa Japan na Korea Kusini siku chache kabla ya michezo ya Olimpiki

Vituo 46 vya kupigia kura kinondoni kuhamishw



Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) imeridhia kuhamishwa kwa vituo 46 vya kupigia Kura katika kata tatu za jimbo la Kinondoni zitakazofanya Uchaguzi mdogo wa

Masoko ya mazao kuimarishwa



Dar es Salaam. Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa amesema Serikali inataka kuimarisha masoko ya