Saterdag, Februarie 03, 2018

Makamu wa Rais aguswa na Cover ya wimbo wa Nandy na Aslay


Makamu wa Rais, Bi Samia Suluhu Hassan (katikati) akiwa na wasanii Nandy na Aslay.

MAKAMU wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan jana jioni aliwakaribisha nyumbani kwake wasanii wa Bongo Fleva, Aslay Isihaka ‘Dogo Aslay’

mdomo wazi Tambwe



AULI ya Kocha Msaidizi wa Simba, Masoud Djuma, aliyedai kwamba atafurahi zaidi kama straika wake Emmanuel Okwi atafunga mabao 30 msimu huu,

Jokate afunguka kuanzisha familia mwaka huu


Jokate Mwegelo

MWANAMITINDO ambaye ni kada wa CCM, Jokate Mwegelo baada ya kuanika kuwa mwaka huu ni sahihi kuingia kwenye maisha ya ndoa, ameibuka tena na kuanika kuwa 2018 ni

Mrema awatolea uvivu UKAWA


Mwenyekiti wa chama cha TLP Lyatonga Augustino Mrema amefunguka na kusema kuwa UKAWA hawampendi wala hawamtaki ndiyo maaana walifanya kila

Mume aliyeweka pilipili kwenye nguo ya mkewe aadhibiwa

Mahakama moja wilayani Lira nchini Uganda imemuhukumu mwanamume kifungo cha siku 40 kutumikia jamii baada ya kupatikana na hatia ya kupaka pilipili nguo ya ndani

WastaraAitaji maombi kwaajili ya kuanza safari ya kwenda India kesho kwa matibabu


Wastara Juma.

BAADA ya gazeti hili kuandika habari yake kwa mara ya kwanza akiomba msaada wa matibabu ya mguu wake, hatimaye staa wa filamu Bongo, Wastara Juma amekamilisha kiasi cha shilingi milioni 37 alizokuwa akihitaji na kesho (Jumapili) anatarajia kuondoka nchini kuelekea kwenye

Magufuli awatunuku 197


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli amewatunuku kamisheni maofisa wanafunzi 197 wa Jeshi la

Rais Magufuli Amwapisha Mwanasheria Mkuu Wa Serikali


Rais Magufuli leo amemwapisha Dk Adelardus Kilangi  kuwa Mwanasheria Mkuu wa Serikali na Paul Ngwembe kuwa

Lulu Diva kufata nyayo za Michael Jackson?


Muimbaji Lulu Diva amedai kuwashangaa watu wanaomsema kwamba amebadili muonekano kwa kutumia dawa za kichina na kusema kwamba yeye atakuwa siyo mtu wa kwanza kufanya hivyo na kwamba hata mwimbaji maarufu

Korea Kaskazini yadaiwa kukiuka vikwazo


Ripoti ya waangalizi huru wa Umoja wa Mataifa imebainisha kuwa Korea Kaskazini ilipata takribani dola milioni mia mbili mwaka uliopita kutokana na uuzaji wa

Wanaofanya udanganyifu kwenye asasi za kiraia waonywa



Asasi za kiraia zimetakiwa kufuata taratibu kabla ya kutoa elimu ya ujasiriamali kwa wananchi ili kukwepa udanganyifu, ikiwa ni pamoja na kuwachangisha fedha na kutokomea

Kiongozi mwengine wa Upinzani akamatwa Kenya



Mbunge mwingine nchini Kenya, amekamatwa kuhusiana na mzozo unaozunguka kujiapisha kwa aliyekuwa waziri mkuu Raia Odinga kwa kile anachokitaja kama rais wa

Nchemba awataka wanaotoa vitambulisho nchini wawe makini



Waziri wa Mambo ya Ndani, Mwigulu Nchemba amewataka watendaji wanaosimamia usajili wa wananchi kwa ajili ya kupatiwa vitambulisho wa Taifa kuwa makini.

Akizungumza leo Februari 3, 2018 katika uzinduzi wa