Maandag, Februarie 05, 2018

DAWAYA YA KUTIBU YAPATIKANA


Asilimia 90 ya wanaume hushindwa kufanya tendo la ndoa kikamilifu kutokana na sababu mbalimbali zikiwemo za kiafya  kama vile

TANGAZO JIFUNZE ENGLISH NA RAS SIMBA


English is a language of everyone despite of age,  class or culture.....You still have a chance to come and join us!!! JOIN us and experience the difference in only three months!!!


Ladies and Gentlemen we humbly welcome you to learn English language at RAS SIMBA VIP class ..You will never regret your time once you join this center made with modern facilities!!!!




Chrispiny kalinga blog

NEC yaijibu Chadema

picha ya na muungwana blog

Tume ya Taifa ya Uchaguzi imesema uamuzi wa kuhamisha vituo 46 vya kupigia kura katika jimbo la Kinondoni umezingatia matakwa ya kanuni za Uchaguzi kwa kuvishirikisha vyama vyote vya siasa ikiwemo Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema)

;Mwanasheria Mkuu wa Serikali aapishwa Bungeni Leo



NAIBU Spika wa Bunge, Dkt.  Tulia Ackson amemwapisha Mmwanasheria Mkuu wa Serikali (AG), Dkt. Adelardus Kilangi bungeni na kumkabidhia vitendea kazi kabla ya

Diamond akwaa skendo nyingine hatari



Mwanamuziki aliyeuteka ulimwengu wa Bongo fleva Naseeb Abdul ‘Diamond Platnumz’ amejikuta ndani ya skendo nyingine baada ya mwanadada mrembo anayeitwa Mia kukiri kuwa alilala na nae nyumbani kwake Madale.

Kufuatia kifo cha Kingunge, CCM yasitisha kampeni kushiriki mazishi



Uongozi wa CCM mkoa wa Dar es Salaam umesitisha kampeni za nje kwa siku moja (leo) kwa ajili ya kushiriki mazishi ya mwanasiasa mkongwe, Kingunge Ngombale Mwiru.

Mke wa Majuto: Nilikua nakesha nikimuombea Mume wangu


MKE wa mchekeshaji maarufu Bongo, Amri Athuman ‘Majuto’, Aisha Yusuf amesema kuwa siku za hivi karibuni alipoanza kuugua tena mumewe amekuwa akikesha na kumuombea arudi katika hali ya kawaida kwani anapoumwa vitu vyote vinalala.

Mke huyo alisema mume wake ni mcheshi sana na ni mtu anayeifanya familia kuwa na furaha kila wakati sasa anapokuwa mgonjwa nyumba inakuwa haina amani kabisa na hata watoto ambao amezoea kucheza nao wanapoa.

“Kila siku dua zangu ni kwa mume wangu maana ndiyo nguzo katika familia yetu na ni mtu mcheshi sana kwa familia hivyo namuombea sana apone maana ndiye furaha yangu,“ alisema mke wa Majuto.

Chrispiny kalinga blog

Bashe Aichambua Serikali


Mbunge wa Nzega Mjini, Hussein Bashe (CCM) amefunguka na kusema kuwa kwa twakimu mbalimbali ambazo zinatolewa na BoT zinaonyesha mambo hayapo sawa hivyo kuna haja kubwa kwa Serikali kupitia Waziri wa

Tume Ya Uchaguzi (NEC) Yajibu Upotoshwaji Wa CHADEMA Kuhusu Kuhamisha Vituo Jimbo La Kinondoni


Hussein Makame, NEC
Tume ya Taifa ya Uchaguzi imesema uamuzi wa kuhamisha vituo 46 vya kupigia kura katika jimbo la Kinondoni umezingatia matakwa ya kanuni za Uchaguzi kwa kuvishirikisha vyama vyote vya siasa ikiwemo Chama cha

Habari Zilizopo Katika Magazeti ya Leo Jumatatu ya January 5

Mgombea CHADEMA Atoweka


WAKATI kampeni za ubunge na udiwani zikiendelea, mgombea udiwani (Chadema) Kata ya Buhangaza wilayani Muleba amepotea katika mazingira ya kutatanisha.

Mahakama ya Rufaa yamwondolea DPP mamlaka ya kuzuia dhamana za Washitakiwa


Mahakama ya Rufaa imemwondolea Mkurugenzi wa Mashtaka (DPP) mamlaka ya kuzuia dhamana ya mshtakiwa bila hata kulazimika kutoa sababu, baada ya kubatilisha kifungu cha 148 (4) cha Sheria ya Mwenendo wa Mashauri ya Jinai, kinachompa mamlaka hayo.

Wastara amwaga chozi akiaga kwenda kutibiwa



Muigizaji wa filamu nchini Tanzania, Wastara ameondoka nchini kuelekea India kwa ajili ya matibabu ya mguu wake ulioanza kumsumbua mwishoni mwa mwaka jana huku akiwashukuru watanazania na Vyombo vya Habari kwa kuwa pamoja naye kipindi alivyokuwa akihitaji msaada wa fedha.