Dinsdag, Februarie 06, 2018
MKUU WA SHULE ALIYE TUMBULIWA AAGWA KWA KEKI NA MINOFU MIZULI,,,
Waziri Mwigulu: “Mikoa ya Kaskazini inaongoza kwa wahamiaji haramu”
Waziri wa Mambo ya Ndani, Dk Mwigulu Nchemba amelitaka jeshi la polisi kufanya kazi kwa uadilifu mkubwa na kwamba taasisi hiyo ndiyo inayoshughulika na haki za watu na wasipofanya kwa uadilifu yapo madhara makubwa kwa jamii na kutoka kwa wahalifu.
Bombardier Nyingine na Boeing 787 Kutua Nchini Julai Mwaka Huu
Ndege mbili; moja aina ya Bombardier na nyingine kubwa Boeing 787 yenye uwezo wa kubeba abiria 262 zilizonunuliwa na serikali, zinatarajiwa kuwasili nchini Julai mwaka huu.
Mahakama yaagiza Nabii Titto apime upya akili
MAHAKAMA ya Wilaya ya Dodoma imeagiza mkazi wa mtaa wa Ng’ong’ona Manispaa ya Dodoma Tito Machibya, maarufu kama ‘Nabii Tito’ (45) kupimwa akili upya katika Taasisi ya Afya ya Akili ya Mirembe Isanga mkoani Dodoma ili kujiridhisha kama ana matatizo ya akili.
Baunsa Anayedaiwa Kumuua Mowzey Radio Atiwa Mbaroni
Mtuhumiwa namba moja ambaye anayedaiwa kuhusika na kifo cha msanii muziki nchini Uganda, Mowzey Radio amekamtwa na Jeshi la Polisi nchini humo.
Dk Slaa: Sijaja Tanzania kuapishwa kuwa balozi
Balozi mteule, Dk Willibrod Slaa amesema amekuja nchini kwa ajili ya kushughulikia usajili wa Hospitali ya CCBRT.
Nassari ashtakiwa kwa kesi ya shambulio
Mbunge wa Arumeru Mashariki (Chadema), Joshua Nassari amefikishwa katika Mahakama ya Wilaya ya Arumeru kujibu shtaka la shambulio.
HAKUNA ALIYE JUU YA SHERIA AMESEMA
Polisi nchini Maldives imemkamata Jaji Mkuu wa Mahakama ya Juu nchini humo huku mgogoro wa kisiasa ukiendelea kuwa katika hali mbaya kwenye nchi hiyo iliyoko katika bahari ta Hindi.
Prof. Palamagamba Amesema Magufuli anamamla ya Zanzibar
Waziri wa katiba na sheria Profesa. Palamagamba Kabudi amesema Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania John Magufuli ana mamlaka yote ya
CCM yazungumzia kutekwa diwani wa CHADEMA
Mbunge wa Muleba Kusini (CCM), Prof. Anna Tibaijuka amefunguka na kusema kuwa CCM hakihusiki kivyovyote vile na kutekwa kwa mgombea wa Udiwani wa CHADEMA Kata ya
Maandag, Februarie 05, 2018
Serikali Kuendelea Kuvifungia Vyuo Vinavyovunja Sheria
SERIKALI imeendelea kudhibiti ubora wa elimu nchini kwa kuvichukulia hatua vyuo na shule zinazobainika kukiuka taratibu za
Teken in op:
Plasings (Atom)