Sondag, Februarie 18, 2018

Rais Magufuli Aomboleza Kifo cha Mwanafunzi wa NIT Aliyepigwa Risasi na Polisi

Rais wa Jamhuri ya Muungani wa Tanzania, Dkt John Pombe Magufuli ametuma salamu za pole kwa familia ya Akwilina Akwilini aliyeuawa baada ya kupigwa na risasi katika maandamano wa Chama cha Demokrasia na

Shy-Rose Bhanji: CCM haiwezi kukwepa lawama Mauaji ya Mwanafunzi wa NIT


Aliyekuwa Mbunge wa Afrika Mashariki, Shy-Rose Bhanji amefunguka na kuweka wazi msimamo wake juu ya tukio la kupigwa risasi kwa mwanafunzi wa mwaka wa kwanza Chuo cha NIT Aqulina Akwilini na kusema kuwa chama chake cha CCM hakiwezi kukwepa juu hilo.

Serikali kugharimia mazishi ya mwanafunzi aliyepigwa risasi na Polisi

Serikali imetoa pole kwa familia ya mwanafunzi wa Chuo cha Taifa cha Usafirishaji (NIT), Akwilina Akwiline aliyeuawa kwa kupigwa risasi Februari 16,2018 na kuahidi kugharimia mazishi yake.

Waziri Ndalichako,Masauni watoa mkono wa pole kwa wafiwa kifo cha Mwanafunzi aliyepigwa Risasi

Waziri wa Elimu, Sayansi, Teknolojia na Ufundi Prof Joyce Ndalichako pamoja na Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ,Injinia Hamad Masauni  wakimfariji Mama Mzazi wa marehemu  Aqwilina jioni ya leo Mbezi Kimara jijini Dar.

Sirro amefika katika Msiba wa Mwanafunzi Aliyepigwa Risasi

Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini IGP Simon Nyakoro Sirro, leo amefika

KIPINDI HIKI HAPA CHA KIBOKO CHA MADANGA

Chrispiny kalinga blog

KIPINDI CHA KILIMO NA MIFUGO HASWA KATIKA MTINDILISHE

Chrispiny kalinga blog

Matokeo: Mtulia (CCM) atangazwa kushinda ubunge Kinondoni

Mgombea wa CCM Jimbo la Kinondoni, Maulid Mtulia ameibuka mshindi katika uchaguzi mdogo wa ubunge uliofanyika jana Februari 17,2018.

Watanzania Watatu na Wanigeria Watano Wakamatwa na Dawa za Kulevya

Watanzania watatu na raia watano wa Nigeria wanashikiliwa na Idara ya Uhamiaji wakidaiwa kupatikana na dawa za kulevya zikiwamo Heroin, Cocaine, bangi na mashine ya kutengeneza dawa hizo.

Waziri Nchemba aagiza wakimbizi wa Burundi 32,000 kurudishwa kwao

Waziri wa Mambo ya Ndani Dkt. Mwigulu Nchemba amewaagiza UNHCR kuwaondoa wakimbizi 32,000 ambao wameomba kwa hiari yao kurudi katika nchi yao ya Burundi haraka tofauti na wanavyofanya sasa.

Vrydag, Februarie 16, 2018

TANGA RAHA- Sehemu ya Tatu ( 3 )

MWANDISHI: EDDAZARIA G.MSULWA

 ILIPOISHIA    
Nikajipapasa haraka haraka kwenye mifuko yangu, ya pensi niliyo ivaa na kukuta kweli walet yangu haipo, ambayo ndani yake inapesa nyingi pamoja na vitambulisho vyangu vya kazi na bima za afya, tunazopewa wafanyakazi wa serikalini kwa ajili ya matibabu ya bure katika hospital yoyote ndani ya nchi ya Tanzania

Babu Seya, Papii Kocha Wawaliza watu.....Tazama Hapa Video Yao Mpya

Msanii wa muziki wa 'Papii Kocha' ambaye alikuwa amefungwa kwa zaidi ya miaka 13 jela leo Februari 16, 2018 ameachia video ya wimbo wake mpya 'Waambie' ambao umewaliza baadhi ya watu kutokana na mambo ambayo ameyaimba ndani ya wimbo huo.