Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), kimesema kinatarajia kuongoza shughuli za utoaji wa heshima za mwisho kwa mwili wa aliyekuwa Katibu wa chama hicho Kata ya
WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amemsimamisha kazi Mwanasheria wa Halmashauri ya wilaya ya Misungwi Bw. Alphonce Sebukoto na kuagiza achungunzwe na vyombo husika.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli amemteua Prof. Makenya Abraham Honoratus Maboko kuwa Mwenyekiti wa Tume ya Sayansi na Teknolojia Tanzania (COSTECH).
Akwilini Shirima ambaye ni baba mzazi wa mwanafunzi wa Chuo Kikuu cha Taifa cha Usafirishaji (NIT), Akwilina Akwiline aliyepigwa risasi na polisi Februari 16, 2018 amesema siku akikutana na askari aliyemuua mwanaye atapambana naye hadi kifo.
Mtandao wa wanafunzi Tanzania (TSNP) na Chama cha ACT-Wazalendo wamemwomba Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mwigulu Nchemba kujiuzulu ili kuonyesha uwajibikaji kwa maelezo kuwa ameshindwa kusimamia amani.
Rais wa Jamhuri ya Muungani wa Tanzania, Dkt John Pombe Magufuli ametuma salamu za pole kwa familia ya Akwilina Akwilini aliyeuawa baada ya kupigwa na risasi katika maandamano wa Chama cha Demokrasia na
Aliyekuwa Mbunge wa Afrika Mashariki, Shy-Rose Bhanji amefunguka na kuweka wazi msimamo wake juu ya tukio la kupigwa risasi kwa mwanafunzi wa mwaka wa kwanza Chuo cha NIT Aqulina Akwilini na kusema kuwa chama chake cha CCM hakiwezi kukwepa juu hilo.
Serikali imetoa pole kwa familia ya mwanafunzi wa Chuo cha Taifa cha Usafirishaji (NIT), Akwilina Akwiline aliyeuawa kwa kupigwa risasi Februari 16,2018 na kuahidi kugharimia mazishi yake.
Waziri wa Elimu, Sayansi, Teknolojia na Ufundi Prof Joyce Ndalichako pamoja na Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ,Injinia Hamad Masauni wakimfariji Mama Mzazi wa marehemu Aqwilina jioni ya leo Mbezi Kimara jijini Dar.