Waumini wa kanisa la Katoliki katika Dayosisi ya Jimbo la Bungoma nchini Kenya, wako kwenye maombolezo baada ya mchungaji wao kuanguka na kufa papo hapo akiwa madhabahuni.
Mfahamu Dkt Maria Kammakiwa mwanamke wa kwanza Tanzania kupata Degree na kwa maisha yake ya miaka 53 ameyatumia kuwashauri vijana na kuwaelimisha kwa kuwapa elimu ya bure na pia aliwahi kuwa mwalimu mkuu katika shule ya Sekondari ya WeruweruMoshi
RAIS Dk.John Magufuli ametangaza nafasi 1500 za ajira mpya kwa Jeshi la Polisi nchini huku akitoa maelekezo, anataka vijana wa JKT ndio wapewe nafasi hizo na si kutafuta ndugu,jamaa na marafiki wa makamanda wa wilaya na mikoa.
Waendesha vyombo vya moto katika Wilaya ya Tarime mkoani Mara wamefungiwa mtambo wa kukatia leseni (TZDLS) Tanzania Drivers Lincence System TZDLS ili kupunguza kero iliyokuwepo ambapo madereva hao walikuwa wanaipata huduma hiyo Mjini Musoma.
njombe Mashabiki watimu ya yanga Wilayani Njombe MkoaniNjombe wameufurahia ushindi wa timu yao ya yanga kwa ushindi wa magoli mawili dhidi ya timu pinzani.
Mwenyekiti wa Umoja wa Wanawake Tanzania (UWT) Gaudentia Kabaka amewataka Wanawake kote nchini wasione fahari kuitwa ‘Dume-Jike’ bali wawe wanawake wenye msimamo imara na jasiri kwa maendeleo yao na ya nchi kwa jumla.
Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, William Lukuvi amesema serikali itawafikisha Mahakamani na kuwafutia hati ya umiliki wananchi wote wanaomiliki ardhi ambao wamekuwa hawalipi kodi ya ardhi.
Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini (IGP) Simon Sirro amesema Jeshi lake liko imara kweli kweli katika kupambana na watu wanaotaka kuleta uvunjifu wa amani nchini, huku akiwasii wanaotaka kuandamana kuacha mara moja kwani kitakachowapata wasije kulaumiana
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli, amewataka jeshi la polisi kufanya lolote lililopo ndani ya uwezo wao, ili kuhakikisha mani ya nchi haivunjwi na kubaki na utulivu.
RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli amewataka maofisa wa Jeshi la Polisi na Makamishna wake kutoyafyeka na kuyachoma moto mashamba ya bhangi na badala yake watumie njia za kiintelijensia kuwababini watuhumiwa, kuwakamata na kuwashughulikia ikiwa ni pamoja na kuwafikisha katika vyombo vya sheria.
Mkuu wa Mkoa wa Arusha Mrisho gambo amemtaka Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli kutotishwa na maandamano ya mitandaoni yanayoratibiwa na Mange Kimambi, kwani mkoa wa Arusha uko salama.