Saterdag, April 21, 2018

BENK YA DUNIA KUSHIRIKIANA NA TANZANIA JUU YA MAFURIKO

Benki ya Dunia (WB) imekubali kushirikiana na Serikali ya Tanzania katika kukabiliana na athari za mafuriko zinazosababishwa na mvua kubwa zinazonyesha kila mwaka katika Jiji la Dar es Salaam na kuleta madhara makubwa hususan katika eneo la Jangwani jijini humo.

Liverpool yambualia pointi moja


Kikosi cha Liverpool kimekubali kwenda sare ya mabao 2-2 dhidi ya

Rais wa Syria akataa tuzo

Syria imerejesha kwa Ufaransa tuzo ya Légion d'honneur aliyopewa rais Bashar al-Assad, ikisema kuwa haiwezi kuchukua tuzo kwa taifa ambalo limekuwa 'mtumwa' wa Marekani.

Kim Jong Un: Korea Kaskazini imesitisha majaribio ya silaha za kinyuklia

Kim Jong Un anasema kuwa Korea Kaskazini imejiimarisha kinyukliaHaki miliki ya pichaAFP
Image captionKim Jong Un anasema kuwa Korea Kaskazini imejiimarisha kinyuklia

Kiongozi wa Korea kaskazini Kim Jong-Un, ametangaza kusitishwa kwa mda shughuli zake za kufanya majaribio ya silaha zake za Kinyuklia.

Makamba atoa somo kuhusu Muungano April 26

Waziri wa Nchi, ofisi ya Makamu wa Rais Muungano na Mazingira, January Makamba alikutana na baadhi ya wanafunzi wa vyuo mkoani Dodoma ili kuwapa elimu kuhusu muungano wa Tanganyika na Zanzibari ikiwa zimesalia siku kadhaa kufikia April 26 ambayo ni siku ya kumbukumbu ya muungano huo.

YANGA YAFURAHIA UNONO KWA TIMU WALIYO PANGWA

Timu ya Yanga tayari wamepangwa kundi D kwenye Kombe la Shirikisho tayari kwa mechi ya kwanza Jumapili ya Mei 6, mwaka huu.  Yanga wamepangwa na Rayon Sports (Rwanda), U.S.M Algeria (Algeria), Gor Mahia FC (Kenya).

LIPULI YAINYOA NDEVU SIMBA

Na chrispin kalinga

Kikosi cha Simba kimeshindwa kupata alama tatu na badala yake kimepoteza pointi mbili katika Uwanja wa Samora mjini Iringa dhidi ya Lipuli, mchezo wa Ligi Kuu Bara.

Mugabe atakiwa kutoa ushahidi wizi wa almasi


Bunge la Zimbabwe limemtaka rais wa zamani wa taifa hilo Robert Mugabe kutoa ushahidi wa madai aliyotoa kuhusu wizi wa almasi.

MAKONDA AJA KIVINGENE ULIMWENGU WAMPONGEZA

Wakati chanjo ya saratani ya mlango wa kizazi kwa wasichana wote wenye umri wa miaka 14 ikitarajiwa kuanza kutolewa Jumatatu wiki ijayo, Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda amesema ana mikakati ya kupita nyumba kwa nyumba ili kuwapima wanaume saratani tezi ya dume.

Zari amlilia Masogange

WASANII  na watu mbali mbali wenye ukaribu na tasni ya burudani wameendelea kutoa  salamu za pole kufuatia kifo cha video vixen, Agness Gerald ‘Masogange’, Zari The Boss Lady naye hajakaa kimya.

waziri atoa neno zito kwa meneja wa tanesco

Serikali ya awamu tano kupitia Waziri wa Nishati, Dkt. Medard Kalemani ametoa mwezi mmoja kwa mameneja wote wa mikoa wa Shirika la Umeme nchini Tanesco kuwaunganishia umeme wananchi ambao tayari washalipia huduma hiyo na meneja atakayeshindwa kutekeleza agizo hilo ajiuzulu kazi mara moja.

Idris Sultan achaguliwa kuwa balozi wa Uber Tanzania



Mchekeshaji maarufu, muigizaji  na mshindi wa Shindano la Big Brother Afrika mwaka 2014, Idris Sultan amepata dili la kuwa balozi wa chapa ya kampuni ya usafiri ya Uber nchini.

UVCCM MKOANI NJOMBE YAWASHA MOTO KWENYE VYUO NA VYUO VIKUU HUKU CHADEMA WASHIKWA NA BUTWAA.


Na Chrispiny Bernad Kalinga.
Njombe.

Aliye simama ni Mwenyekiti wa Uvccm Mkoa wa Njombe Emmanuel mlelwa katika Vyuo na Vyuo Vikuu Mkoa wa Njombe na kushoto kwake ni Katibu Mwenezi Siasa Mkoa wa Njombe Muheshimiwa Erasto Ngole.