Saterdag, Augustus 25, 2018

NEC yatangaza uchaguzi mdogo jimbo la Liwale

Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) imetangaza uchaguzi mdogo wa Jimbo la Liwale, Lindi kufutia kujiuzulu kwa alieyekuwa Mbunge wake kwa tiketi ya Chama cha Wananchi (CUF), Zuberi Mohamed Kuchauka.

Hali ya Waziri wa Maliasili na Utalii hii hapa

Hali  ya Waziri wa Maliasili na Utalii, Dk. Hamisi Kigwangalla, aliyelazwa katika Taasisi ya Tiba ya Mifupa (MOI), inazidi kuimarika na juzi alifanya mazoezi ya kutembea umbali wa kilometa nne kwa kutumia saa moja na dakika 23.

Hali ya Ommy Dimpoz ni mbaya, arudishwa hospitalini Afrika Kusini

Msanii wa Bongo Fleva, Omar Faraji Nyembo ‘Ommy Dimpoz’ amerudishwa nchini Afrika Kusini ‘Sauzi’ kwa ajili ya matibabu baada ya hali yake kuendelea kutokuwa vizuri licha kutolewa hospitalini huko siku chache zilizopita.

Donderdag, Augustus 23, 2018

Mabasi ya Shule Yagongana Jijini Mwanza Na Kuua Mmoja

Basi la shule ya msingi Kivulini na la shule ya msingi Nyamuge yamegongana leo asubuhi na kusababisha kifo cha mtu mmoja.

Donderdag, Augustus 16, 2018

Wanaume  wanao  jihusisha  na  upigaji  wa  punyeto  kwa  muda  mrefu  husalia  kuwa  na  maumbile  ya  kiume  yaliyo  sinyaa  na  kudumaa.

Lugola Atangaza Kiama kwa Polisi Wala Rushwa

Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Kangi Lugola, amesema hatawaonea huruma polisi watakaokamatwa wakichukua rushwa na wale wanaonyanyasa wenye magari, bodaboda na wananchi.

Mkuu wa Mkoa wa Mbeya Aamuru Wananchi wa Kijiji Kizima Wakamatwe na Kuwekwa Ndani.....RPC Mbeya Tayari Keshatuma Polisi

Mkuu wa Mkoa wa Mbeya, Albert Chalamila, ameliagiza Jeshi la Polisi kuwakamata na kuwasweka ndani wananchi wote wa Kijiji cha Ngole kilichopo Kata ya Ilungu wilayani Mbeya kwa kosa la kuharibu mradi wa maji wa kijiji jirani cha Msheye.

Waziri Mkuu Aagiza Kukamatwa Kwa Mtendaji....Ni baada ya upotevu wa sh milioni 141 za kijiji

WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amemuagiza Kamanda wa TAKUKURU wa wilaya ya Igunga mkoani Tabora, Bw. Francis Zuakuu kumkamata aliyekuwa Mtendaji wa Kijiji cha Bulagamilwa, Bw. Ntemi James kwa tuhuma za kuhusika na upotevu wa sh. milioni 141 za kijiji hicho.

GP Sirro: Yule Mwandishi wa Habari Alipigwa Kwa Sababu Alifanya Fujo....Upelelezi Unaendelea na Haki Itatendeka

Mkuu wa Jeshi la Polisi Nchini IGP Simon Sirro amesema kuwa Mwandishi wa habari aliyepigwa na polisi wakati akitekeleza majukumu yake katika Uwanja wa Taifa ulioko jijini Dar es Slaam alikuwa mbishi na alimkaba Askari polisi akitaka kuingia sehemu ambayo imekataliwa kuingia, ndipo askari wakawa na hasira na kuanza kuvutana ndipo ugomvi Ukaanza.

Sondag, Augustus 12, 2018

Dalili Za Mimba Kutunga Nje Ya Mji Wa Uzazi








HILI ni tatizo ambalo linawaathiri wanawake wengi. Kwa kawaida, mimba zinazotungwa nje ya mfuko wa uzazi hazina uwezo wa kukua kuwa mtoto kamili. Mimba hizi ni hatari kwa afya ya mjamzito kwa vile humfanya kupoteza damu nyingi na hatimaye kusababisha kifo asipowahi kutibiwa. Katika mfumo wa uzazi wa mwanamke, kuna sehemu nyingi ambazo kila moja ina umuhimu wake.

Tatizo la Kutokwa na Uchafu Ukeni (Vaginosis)

LEO tutazungumzia tatizo linalowasumbua wanawake wengi, tatizo la kutokwa na uchafu unaotoa harufu mbaya sehemu za siri.

Lugola Aagiza Polisi Kuwakamata Waliofanya Ufisadi Sekta Ya Michezo


Na Felix Mwagara, MOHA
 
WAZIRI wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Kangi Lugola amemtaka Mkuu wa Polisi wa Wilaya ya Bunda kuwakamata watu walioshiriki kuwatapeli wananchi katika Sekta ya michezo wilayani humo, Mkoa wa Mara.