Vrydag, Januarie 25, 2019

Shule iliyoshika mkia kidato cha nne Walimu kufukuzwa


Walimu 12 waliokuwa wanafundisha katika Shule ya Sekondari Masjid Qubah Muslim Seminary jijini Dar es Salaam wanatarajia kufukuzwa na kuajiriwa wapya kutokana na shule hiyo kuwa ya mwisho kwenye matokeo ya mtihani wa kidato cha nne uliofanyika mwaka jana.