Vrydag, Februarie 16, 2018

TANGA RAHA- Sehemu ya Tatu ( 3 )

MWANDISHI: EDDAZARIA G.MSULWA

 ILIPOISHIA    
Nikajipapasa haraka haraka kwenye mifuko yangu, ya pensi niliyo ivaa na kukuta kweli walet yangu haipo, ambayo ndani yake inapesa nyingi pamoja na vitambulisho vyangu vya kazi na bima za afya, tunazopewa wafanyakazi wa serikalini kwa ajili ya matibabu ya bure katika hospital yoyote ndani ya nchi ya Tanzania
"Asante sana dada yangu sijui nikuchukuru vipi sema nikupe nini?"

ENDELEA
"Hapana kaka yangu asante"
"Hapana jamani basi turudi nikakulipie sahani ya chipsi uliyo agizia"
"Nashukuru kaka yangu siku nyingine utanilipia"
Kabla sijazungumza simu ya yule dada ikaita akapokea ikanibidi nikae kimya, nimpe nafasi ya kuzungumza na mtu aliye mpigia
"Halow baby nakuja namalizia kufungia hizi chipsi”
“Jamani mume wangu kuna foleni kama nini"
Akamaliza kuzungumza na simu, na kukata simu
"Kaka yangu Mungu akipenda tutaonana shemeji yako ana wivu sana"
"Sawa nisalimie shemeji yangu kwa maana anafanya kazi sana"
”Kazi gani?” Dada aliuliza huku akitabasamu usoni mwake
“Kazi ya kukutunza, ndio maana ulipo ingia pale tukakukodolea macho”
 
"Hahaaa, mbona kawaida”
“Kwako ndio kawaida ila sisi, mmmmm”
“Usijali utapata mwenye naniliu kama langu”
"Samahani kama huto jali chukua namba yangu"
Nikamtajia namba zangu kisha akaondoka kwa mwendo wa haraka na kuniacha nimeduwaa nikiyatazama makalio yake makubwa jinsi yanavyo tingishika kama simu ya kichina yenye vibrate kali
"Mmm huku Tanga ni noma"
Nilijisemea kimoyo moya na kuanza kupiga hatua za taratibu za kurudi kwangu mtaa wa pili kutoka ninapo ishi.Nikiwa njiani nikastuka nikiitwa na sauti ya mtoto wa kiume huku akinikimbilia akinifwata sehemu nilipo
"Shikamoo Sir Eddy"
"Marahaba hujambo mtoto mzuri?"
Nikaanza kujiuliza huyu mtoto amenijuaje wakati kwa makadirio ya macho yangu hajamaliza darasa la saba, kutokana na kimo chake pamoja na sura yake bado niyakitoto
 
"Sijambo"
"Unaitwa nani?"
"Jumaa"
"Jina langu amekuambia nani?"
Kikajichekesha kisha kikanijibu
"Ameniambia dada yangu yule pale nje"
Nikageuka kumtazama sehemu anayo nionyesha nikaona wadada wanne wakiwa wamekaa kibarazani wanacheza karata huku macho yakitutizama kwa kuiba iba, nikawasalimi wakaitikia kwa pamoja
"Haya rafiki yangu nenda kacheze"
"Sir Eddy naweza kuja kutazama DSTV kwako"
Nikajikuta nikiguna kimoyo moyo kwani sijui huyu mtoto amejuaje nimenunua DSTV wakati mimi minaishi mtaa wa mbele kutoka pale
 
"Mbona usiku labda kesho utakuja si unapajua kwangu?"
"Ndio ila leo kuna mechi za mpira ligi ya uingereza"
"Mmmm unashabikia timu gani?"
"Madrid ila uingereza nashabikia Liverpool"
Sikuwa na jinsi za kumkubalia akawaaga ndugu zake na tukaondoka.Tukafika kwangu nikamuwekea mechi ya mpira anayo itaka kupitia akaanza kuangalia huku akionekana kufurahi sana
Nikafungua kifuko changu cha chipsi nikamkaribisha Jumaa hakufanya makosa akaanza kuokota mskaki huku akiokota na chipsi nyingi
"Leo nitalala njaa"
Nikajisemea kimoyo moyo huku Jumaa akizidi kunichezea rafu kwenye kula hadi tukamaliza kwa hesabu za haraka haraka nimekula chispi kama ishirini tu kati ya nyingi zilizopo kwenye kifuko changu
Nikafungua friji na kumpa Jumaa soda akaonekana kuzidi kufurahi huku akipata midadi ya mpira unao chezwa
"Dogo saa nne huogopi kwenda kwenu?"
"Hapana si hapo nyuma tu"
Ikanibidi nikae kimya,dakika tano mbele mlango wangu ukagongwa huku sauti ya dada nisiye mjua akiita jina la Jumaa
 
"Huyu ma mdogo anatabu kama nini?"
Nikafungua mlango kisha nikamkaribisha mama yake mdogo akaingia ndani huku akijifunga tenge lake vizuri
"Haaa wewe tabia ya kula kwa watu nilikuambiaje?"
Dada huyo alizungumza huku akimsogelea Jumaa mwenye chupa ya soda mkononi
"Dada yangu mbona kawaida"
"Hapana kaka yangu huyu mtoto ana tabia za ajabu kama nini...Yaani ni mmero kama nini?"
Dada yule akampiga Jumaa kofi la mgongo na kumfanya Jumaa kutoka mbio na kukimbilia kwao
"Tena nikukute nyumbani mwehu wewe"
Kwa bahati mbaya mama mdogo wake Jumaa tenge alilo livaa likamdondoka kwa kurupushani za kumchapa Jumaa.Akawa mpole gafla kwani alibakiwa na chupi aina ya bikini huku kiuno chake kikiwa na shanga nyingi
Akainama na kuokota tenge lake na kujifunga vizuri kutokana yupo chumbani kwangu hakuona aibu sana kuanguka kwa tenge lake
"Kwani alikuwa anatizama nini huyu mtoto?"
Aliniuliza kwa kuzuga ili kupotezea tukio lililo tokea dakika chache zilizopita
"Alikuwa anatizama mpira ila kuna movie alikuwa akiimalizia"
Mama yake mdogo Jumaa akasimama na kuitazama movie ya kizungu ambayo kwa wakati huo ilifikia katika sehemu ya watu wazima kufanya yao live bila chenga
"Mmmm hawa wazungu hawana aibu"

Alizungumza huku akikaa juu ya mguu wa sofa na kuikodolea macho movie hiyo.Jinsi matukio ya movie hiyo yanavyo kwenda ndivyo jinsi mama mdogo Jumaa alivyozidi kukaa.Nikawa ninatamani kubadilisha chanel ila nikawa ninashindwa nifanye nini kwani ningemkatisha utamu mama mdogo Jumaa
"Kaka unaitwa nani?"
"Mimi?"
"Ndio"
"Ninaitwa Eddy"
"Ahaa wewe ndio mwalimu wao mpya Fatuma?"
"Ndio"
"Fatuma mwanangu anasoma kidato cha pili ndio ameingia mwaka huu"
"Ahaa mimi bado mgeni sijapata kuwajua wanafunzi wengi"
"Ahaa sifa zako zinatamba kama nini"
Nikastuka na kujiuliza ni sifa gani zinazo tamba kwao huku wazo la Rahma likinijia kichwani
"Sifa gani dada yangu...?"
"Fatuma anasema wewe unafundisha vizuri masomo ya Sayansi na wanafunzi wengi wanakuelewa"
Nikashusha pumzi huku nikimtazama mama mdogo Jumaa
"Ndio jukumu langu hilo"
"Jitahidi mwaya kwani ile shule wanafunzi wengi wanafeli masomo ya Sayansi"
 
"Musijali nitajitahidi kadri ya uwezo wangu wanafunzi waelewe"
Ukimya ukatawala huku sote tukitazama ile movie na sehemu iliyopo inamuonyesha dada wa kizungu akinyonya koki ya jamaa anayempa burudani hiyo
"Hivi una mchumba wewe?"
"Hapana sijajaliwa kumpata kwani nawaogopa sana wasichana"
"Mmm...yakweli hayo?"
"Ndio si ungemuona humu ndani"
Mama Mdogo Juma akanyanyuka na kujishika kiuno huku akionekana kufikiria kitu cha kuzungumza japo anaonekana kuto kujiamini
"Nani...Eddy"
"Naam"
"Ngoja niondoke niende kuoga kisha nikarudi kuimalizia hii movie imenibamba sana"
Akatoka huku akilitingisha kalio lake kubwa ambalo kwenye tenge alilo livaa lilijitokeza vizuri na kuufanya mwili wangu kunisisimka

Chrispiny kalinga blog

2 opmerkings: