Woensdag, Februarie 21, 2018

TAZAMA LUDEWA KUPEWA UTARATIBU MWINGINE

Mbunge Wa Ludewa Mh, Deo Ngalawa Akichangia Mjadala Wa Elimu Jana,
Mdau Wa Maendeleo Ludewa Bw, Johnson Mgimba Akiendelea Kuchangia mjadala Wa Elimu. 
Afisa Elimu Msingi Wilaya ya Ludewa Christopher Wangwe Akieleza Hali halisi ya Elimu kwa wadau Ukumbini, 
Mkuu Wa Wilaya ya Ludewa Andrea Tsere Akifafanua Lengo halisi la Mkutano huo, 
 Wakwanza Kushoto Ni Mwenyekiti Wa Halmashauri ya Wilaya ya Ludewa Mh, Edward haule Akiwa na Mbunge wa Ludewa Mh, Deo Ngalawa katikati Pamoja na Mwenyekiti wa CCM wilaya ya Ludewa Stanley Kolimba wakwanza Kulia.
Umati wa wadau walishiriki Mkutano Huo Wa Maendeleo Jana, 

Chrispiny kalinga blog

Geen opmerkings nie:

Plaas 'n opmerking