Donderdag, Februarie 08, 2018



katika barabara ielekeayo makambako na hapa ni barabarani  kwenye kibao cha kuelekea kwenye kiwanda cha chai kiitwacho kibena tea ltd

na haya ni moja ya mashamba ya chai ya kampuni hiyo


wafanyakazi wa kiwanda cha chai kilichopo mkoani njombe wilaya ya njombe wakiwa wapo kwenye majukiumu yao



wafanyakazi hawa wakiwa kazini hawana vitu vitakavyo wakinga kama endapo dhuruba ikijitokeza kama grovus za kuwakinga mikononi lakini pia kofia kichwani kwaajili ya kuzuia nywele

Chrispiny kalinga blog

Geen opmerkings nie:

Plaas 'n opmerking