Donderdag, Februarie 22, 2018

Ubalozi wa Marekani Montenegro washambuliwa

Ubalozi wa Marekani mjini  Podgorica   washambuliwa kwa bomu lilitengenezwa kienyeji  kwa mikono  nchini Montenegro.

Mtu alieshambulia ubalozi huo kwa kujitoa muhanga  aliendesha sahmbulizi hilo usiku wa Jumatano kuamkia Alkhamis mjini  Podgorica.

Uraia wa mtu huyo bado haujatambulika na uchunguzi tayari umekwisha anza.

Msemaji wa balozi wa Marekani nchini Montenegro Jeff Adler amesema kuwa Polisi imeanzisha uchunguzi ili kumtambua aliendesha shambulizi hilo.



Chrispiny kalinga blog

Geen opmerkings nie:

Plaas 'n opmerking