Sondag, Februarie 11, 2018

MAKON DA AZITUMBUA MAHAKAMA ZA KATA

Picha ya David Maphone

Mkuu wa mkoa wa Dar Es Salaam Paul Makonda, leo amesimamisha shughuli za Mahakama za Kata(Mabaraza ya kata) kwa maelezo kwamba hazina Wanasheria wanaojua Sheria inayoweza kutoa haki, RC Makonda anapokea malalamiko ya wananchi wa mkoa wa Dar Es Salaam, katika ukumbi wa Diamond Jubilee.

Kuanzia Leo tarehe 10 nasimamisha shughuli zote kwenye mabaraza ya kata na kesi zote zilizokuwa huko zipelekwe kwenye ofisi ya katibu tarafa'
"Mimi acha nifanye maamuzi magumu kidogo, Mahakama za Kata hazina Wanasheria wanaojua Sheria inayoweza kutoa haki, kuanzia sasa nasimamisha shughuli zote za Mabaraza ya Kata katika mkoa wa Dar Es Salaam.
RC Makonda amepokea malalamiko 87, kati ya hayo 40 yalikuwa mahakamani na 47 hayajafikishwa mahakamani kutokana na wahusika kutokuwa na elimu ya namna sahihi ya kufungua kesi za mirath


Chrispiny kalinga blog

Geen opmerkings nie:

Plaas 'n opmerking