Woensdag, Februarie 14, 2018

DR Congo: Wanajeshi watano wafariki katika msafara wa rais

Wanajeshi watano wafariki katika ajali iliotokea katika msafara wa rais Joseph Kabila Minkelo Kusini-Magharibi mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo.


Taarifa  hiyo ilitolewa na kituo cha habari cha Anadolu na kufahamisha kuwa ajali hiyo ilitokea  Jumanne.

Eneo la Minkelı ni eneo ambalo linapatikana  Kongo ya Kati karibu na jiji la Kinshasa.

Taarifa ziliztolewa na kituo cha habari cha Okapi zilifahamisha kuwa ajali hiyo ilitokea wakati  rais Kabila alikuwa akirejea mjini Kinshasa baada ya kushiriki uzinduzi wa  wa kituo cha kuchimba mafuta Jumatatu .

Barabara Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo zipo katika hali mbaya licha ya kuwa taifa hilo lina utajiri mkubwa wa mali ikiwa  pamoja na madini.


Chrispiny kalinga blog

Geen opmerkings nie:

Plaas 'n opmerking