Na Chrispiny Kalinga
Serikali ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo, imewafukuza zaidi ya mahakimu 250 ambao waliajiriwa kwa kutumia vyeti feki na wengine waliotuhumiwa kupokea hongo.
Kumeundwa tume maalum itakayo fuatilia idara mbalimbali kwa kuchunguza maafisa ambao hawatimizi vigezo na masharti ya kufanya kazi kama mahakimu au wizara nyingine.
Mahakimu hao wamefukuzwa na raisi Kabila, kwa kile alicho kisema ni kosa la kutumia vyeti bandia na wengine kwa tuhuma za kupokea rushwa wakati wa kesi mbalimbali
mubashara blog
+255753121916
Geen opmerkings nie:
Plaas 'n opmerking