Maandag, Januarie 29, 2018

Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mhe. Selemani Jafo amewaagiza Wakuu wa Wilaya na Wakurugenzi ambao kwenye maeneo yao



Nteghenjwa Hosseah, OR-TAMISEMI.
 

Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mhe. Selemani Jafo amewaagiza Wakuu wa Wilaya na Wakurugenzi ambao kwenye maeneo yao bado kuna wanafunzi wanasomea katika madarasa ya Tembe ama yalioezekwa Nyasi au kujengwa kwa Udongo kuhakikisha wanaacha mara moja kutumia madarsa hayo na kujenga madarasa bora.

Ndalichako amewapongeza wazazi na walezi wa wanafunzi wa shule za msingi na sekondari mkoani Njombe

 LUDEWA

 NA CHARS IGINATO

Waziri wa Elimu sayansi,na teknolojia Profesa Joyce Ndalichako amewapongeza wazazi na walezi wa wanafunzi wa shule za msingi na sekondari mkoani Njombe kwa jitihada zao na ushirikiano hasa kujiwekea utaratibu wa uchangiaji wa chakula cha wanafunzi mashuleni ili kukuza kiwango cha elimu hapa nchini.

W

MTU MMOJA AKUTWA AMEKUFA KWA KUJINYONGA WILAYANI LUDEWA MKOANI NJOMBE


 LUDEWA

 CHARS IGNATIO

Mkazi mmoja wa kijiji cha Maholong`wa kata ya Ludende wilayani Ludewa mkoani Njombe aliyejulikana kwa jina la MELANIA FRANCE LUOGA amekutwa amejinyonga juu ya mti katika eneo la maholongw`wa huku sababu za kujinyonga hazijulikani mpaka sasa.

Sondag, Januarie 28, 2018

ACT- Wazalendo Kuzunguka Mikoa 6



,
Katibu Mkuu wa Chama cha ACT-Wazalendo Ndugu Dorothy Semu, anatarajia kufanya ziara ya kikazi katika mikoa mitano ya Tanzania Bara akiambatana na vbiongozi mbalimbali wa chama hicho.

Rais Dkt. Magufuli Asali Ibada Ya Jumapili Katika Kanisa Katoliki La Mtakatifu Petro Jijini Dar Es Salaam.



Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akishukuru mara baada ya kushiriki Sakramenti Takatifu katika Ibada ya jumapili iliyofanyika katika Kanisa la Mtakatifu Petro Parokia ya Oysterbay jijini Dar es Salaam.

Baada ya Rais Magufuli, Rais Shein atoa msimamo wake kuhusu muda wa kukaa madarakani


Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dkt. Ali Mohammed Shein amesema hayupo tayari kuongeza muda wa uongozi kutoka miaka mitano hadi saba kwani kufanya hivyo ni kukiuka katiba ya Zanzibar.

Lukuvi awwsha moto mpya.....



Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi William Lukuvi, ametangaza kiama kwa wamiliki ardhi ambao hawajalipa kodi ya pango la ardhi na kutoa muda hadi April 30 mwaka huu kuhakikisha wanalipa kodi hiyo.

Madiwani watatu wa CHADEMA wakitimkimbilia CCM.

SIASA
Madiwani watatu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) wilaya ya Rombo wamekihama chama hicho na kujiunga na Chama Cha Mapinduzi (CCM).

Saterdag, Januarie 27, 2018

Mwigulu Nchemba Awachana Wapinzani Wakati Akimnadi Mgombea wa CCMJanuary 27, 2018 Mwigulu Nchemba Awachana Wapinzani Wakati Akimnadi Mgombea wa CCM...SOMA ZAIDI



MBUNGE wa Iramba Magharibi, Singida na Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mwigulu Nchemba ameongoza jahazi la makada, wanachama na wafuasi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) katika uzinduzi wa kampenzi za uchaguzi mdogo wa ubunge kwa Jimbo la Kinondoni.

Dinsdag, Januarie 23, 2018

January 23, 2018
Dr Mollel : Nilifanya Jambo la Kitoto Nilipokuwa Chadema, Waliniambia Nitoke Bungeni Magufuli Akiingia



Aliyekuwa Mbunge wa Jimbo la Siha kwa tiketi ya

Onyo kali latolewa baada ya Serikali kutangaza kuuza meno ya Viboko


 ***Wanunuzi wataruhusiwa kuyakagua (Januari 25 na 26) kabla ya mnada
***Watakaovuruga mnada kukiona cha mtemakuni

Maandag, Januarie 22, 2018

HAPA KAZI TU YATIMIA KWA WAZIRI MKUU
Waziri Mkuu Azidi Kuwabana Wakala wa Majengo Tanzania (TBA) 


WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amemuagiza Mkurugenzi Mkuu wa Wakala wa Majengo Tanzania (TBA) Mhandisi Elius Mwakalinga akafanye tathmini ya ubora ya jengo la kituo cha pamoja cha forodha cha Sirari kilichopo kwenye mpaka wa Tanzania na Kenya.

Ametoa agizo hilo jana (Jumapili, Januari 21, 2018) katika kikao cha majumuisho ya ziara yake ya kikazi mkoani Mara, ambapo alimuagiza Mkurugenzi huyo afanye tathmini na kuishauri Serikali kama jengo linafaa kutumika. 

Januari 17, 2018 Waziri Mkuu

KAMPUNI YA MAFUTA YA TOTAL YAKIFUNGIA KITUO CHAKE MJINI NJOMBE,

Katika Picha ni Purukushani wakati kituo hicho kikifungwa Mjini Njombe,
Na Gabriel Kilamlya NJOMBE