Inawezekana
katika maisha yako hujawahi kula mboga iliyowekwa kiungo kinachoitwa
bizari, kama umewahi, inawezekana pia hujawahi kujua faida zake mwilini.
Bizari (Turmeric) ni kiungo cha mboga jamii ya mimea unaochimbwa kama mizizi, mfano wa tangawizi, lakini tangawizi yenyewe ina rangi ya njano na hujulikana pia kama ‘manjano’ kutokana na rangi yake.