Rais John Magufuli amewapa pole Majaji kwa changamoto wanazokumbana nazo pindi wanapo shughulikia mashitaka yanayopelekwa na serikali na kuahidi kulifanyia kazi
Vrydag, Februarie 02, 2018
KIONGOZI ALIYE MUAPISHA KIAPO RAILA ODINGA TUMBO LAWAKA MOTO
Mwanasiasa aliyejitangaza kuwa kiongozi wa vuguvugu la pingamizi dhidi ya serikali nchini Kenya NRM Miguna Miguna alikamatwa siku ya Ijumaa alfajiri,
Rais Magufuli Amtumbua Mwanasheria Mkuu wa Serikali....
Rais Magufuli amefanya uteuzi mpya kwa kumteua Dk Adelardus Kilangi kuwa Mwanasheria Mkuu wa Serikali na Paul Ngwembe kuwa
Madudu Mkataba wa Mlimani City
Bunge limeitaka serikali kuhakikisha Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) anafanya ukaguzi wa kiuchunguzi na kiufanisi
Rais Magufuli Amlilia Mzee Kingunge Ngombale Mwiru Kwa kututoka hapa Duniani..
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli amepokea kwa huzuni na masikitiko taarifa za kifo cha mmoja wa waasisi wa Taifa na mwanasiasa mkongwe nchini Mzee Kingunge Ngombale Mwiru kilichotokea leo tarehe 02 Februari, 2018 saa 10:30 alfajiri katika
ALIYE KUWA KATIKA CHA CHA MAPINDUZI MKONGWE AMBAYE MWAKA 2015 ALIAMUA KUHAMIA CHADEMA KINGUNGE ATAZIKWA JUMATATU KATIKA MAKABURI YAKINONDONI JIJINI DAR.
Mwanasiasa mkongwe nchini, Kingunge Ngombale-Mwiru anatarajiwa kuzikwa Jumatatu Februari 5, 2018 katika makaburi ya
Wakili: Afya ya Rugemarila, Seth zinatia mashaka
Donderdag, Februarie 01, 2018
Chadema Walimwa Barua.....wadaiwa kukiuka maadili ya uchaguzi Kino
Wakati kampeni za uchaguzi jimbo la Kinondoni zikiendelea, Chadema wamepewa barua mbili za malalamiko na msimamizi wa uchaguzi Wilaya ya Kinondoni, Aron Kagurumjuli kikidaiwa kuvunja kanuni za maadili ya uchaguzi.
Endelea kutembelea Blog yetu
Habari Zilizopo Katika Magazeti ya Leo Alhamisi ya February 1
Endelea kutembelea Blog yetu
Naibu Waziri Wa Elimu Afafanua Utaratibu Wa Kupata Cheti Mbadala/ Uthibitisho Kwa Mtu Aliyepoteza
NAIBU
Waziri wa Elimu ,Sayansi na Teknolojia,William OleNasha,amefafanua
utaratibu wa kupata cheti mbadala/uthibitisho kwa mtu aliyepoteza cheti
ambapo ameeleza kuwa Baraza la Mitihani litafanya kazi hiyo kwa muda
usiozidi siku 30.
Ole
Nasha aliyasema hayo jana bungeni mjini Dodoma alipokuwa akijibu swali
la Mbunge wa Mafinga Mjini,Cosato Chumi (CCM) lililokuwa likihoji ‘’Je
ni utaratibu gani unaotumika pale mtu anapopoteza cheti ili aweze kupata
cheti kingine’’?,Je ni unapata cheti halisi au nakala? na ni taratibu
gani anatakiwa kuzifuata mtu ili ombi lake lifanyiwe kazi ipasavyo na
bila kucheleweshwa?.
Endelea kutembelea Blog yetu
Teken in op:
Plasings (Atom)