Saterdag, Februarie 03, 2018

Vituo 46 vya kupigia kura kinondoni kuhamishw



Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) imeridhia kuhamishwa kwa vituo 46 vya kupigia Kura katika kata tatu za jimbo la Kinondoni zitakazofanya Uchaguzi mdogo wa

Masoko ya mazao kuimarishwa



Dar es Salaam. Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa amesema Serikali inataka kuimarisha masoko ya

Tshishimbi apiga bao, Yanga ikiiua Lipuli 2-0



YANGA SC imejivuta kwenye mbio za ubingwa wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara baada ya ushindi wa mabao 2-0 dhidi ya wenyeji, Lipuli Uwanja wa

TRA yazifungia hoteli tatu Mtwara kwa Kushindwa Kulipa Kodi





Mamlaka ya Mapato  TRA  imezifungia hotel tatu mkoani humo pamoja na kituo cha kuuza mafuta kwa kushindwa kulipa kodi .

Hotel zilizofungiwa ni

Live Ikulu: Rais Magufuli akiwatunuku Kamisheni Maafisa wapya wa JWTZ

Fuatilia hapa moja kwa moja kutoka katika viwanja wa Ikulu jijini Dar es salaam, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli akiwatunuku Kamisheni Maafisa wapya wa

Rosa Ree Afanya Maajabu..Atoa Wimbo Mkali Akimshirikisha Billnass..Unaweza Kusikiliza na Kudownload Hapa



Msanii wa Hip Hop wa Kike Bongo Aliyewakalisha wengine ameachia wimbo mpya akiwa

Mkoa wa Njombe Christopher Olle Sendeka pamoja Mkuu wa Wilaya ya Ludewa Watia fola

Na Maiko Luoga Ludewa, 
Mkuu wa Mkoa wa Njombe Mh, Christopher Olle Sendeka Jana February 2/ 2018 alifanya ziara ya kutembelea na Kukagua Ujenzi wa majengo mapya ya Maabara, Jengo la mama na mtoto, Jengo la upasuaji Pamoja na

RC, SENDEKA ABAINI UJINGA UNAO TENDWA MLANGALI, AWAPA UHURU WAUZA MKAA

NJOMBE-MLANGALI
Na Chrispiny kalinga
Picha na Maiko luoga
Mganga Mkuu wa Wilaya ya Ludewa katikati mwenye shati jeupe aliyenyosha mkono Dr. Nelson Kimoro akitoa Maelekezo kwa Mkuu wa Mkoa wa Njombe Mh, Christopher Olle Sendeka juu ya Ujenzi wa majengo

Habari Zilizopo Katika Magazeti ya Leo Jumamosi ya febr. 3

Uchimbaji mafuta ya Petroli mkoani Morogoro kuanza Septemba 2018

Serikali imesema mradi wa uchimbaji mafuta katika Kisima kilichoanishwa kuchimbwa kwenye eneo la kijiji cha Ipera Asilia, kwenye hifadhi tengefu ya bonde la

Ujenzi wa bomba la mafuta kuanza mwezi Mei



Serikali ya Tanzania kupitia Wizara ya Nishati na Kampuni ya Total wamekubaliana kuharakisha hatua zote za awali katika Mradi wa Bomba la Mafuta kutoka Uganda hadi Hoima Tanga ili

Lowassa alivyofika nyumba kwa Kingunge Kuhani Msiba


Waziri Mkuu Mstaafu na Mjumbe wa Kamati Kuu Chadema,Mheshimiwa Edward Lowassa akitia sahihi kwenye

Dancer wa Diamond Awaangushia Kichapo Shilawadu

Watangazaji wa Kipindi maarufu cha Shilawadu kinachorushwa na Clouds tv,Soudy Brown na Kwisa wamechezea kichapo kutoka kwa Dancer wa Diamond,Mose Iyobo,usiku wa kuamkia  ijumaa,