Mwanamuziki wa kimataifa Rihanna anategemewa kuhudhuria mkutano mkubwa nchini Senegal,lakini vikundi vya dini nchini humo wamekataa kumpokea, chombo ch habari cha Jeune Afrique kimeripoti.
Sondag, Februarie 04, 2018
MMILIKI WA BLOG AOMBA RADHI IN ENGLIDSH I apologize OWNER'S BLOG
Mmiliki wa blog hii ya Chrispin kalinga blog anawaombeni radhi wasomaji wake wote kwa tatizo la kiufundi lililo jitokeza ambalo limeanza kushughulikiwa...
Tatizo lenyewe ni muingiliano wa tarehe husika ya jana na leo hivyo tarehe ya habari inayo letwa kwako kusomeka kama ya jana kumbe ni ya leo hivyo tarehe itaandikwa kwa juu au mwanzo wa kicha cha habari
Asanteni.
The owner of this blog to Chrispin Kalinga blog is Call pleased its readers all the technical problem honorably emerged that has begun to be addressed ... The problem is the intervention of the relevant date of yesterday and today it on the news has brought you to read like yesterday and yet it is the today it will be written on the top or the beginning of the bundle of information Thank you.
Chrispiny kalinga blog
Saterdag, Februarie 03, 2018
Mambo ambayo msichana ambaye yupo singe anatakiwa kuyafahamu
Siku ya leo naomba nizungumze na wale wadada wote ambao hawajoelewa au kwa kibantu huitwa (single ladies). Ewe mwanadada yapo mambo ya msingi ambayo unapaswa kuyafahamu kabla ya kuolewa na mambo hayo ni;
1. Usiharakishe kutoka nyumbani kwa
1. Usiharakishe kutoka nyumbani kwa
Endelea kutembelea Blog yetu
Tottenham imejiandaa kumuuza mshambuliaji wa Uingereza
Tottenham imejiandaa kumuuza mshambuliaji wa Uingereza Harry Kane 24 kwa Real Madrid iwapo timu hiyo hataipatia presha na kwamba watalipwa dau la £176m. (Mundo Deportivo - in Spanish]
Endelea kutembelea Blog yetu
Maradona anyimwa visa ya kuingia Marekani kwa kumtusi Trump
Nyota wa zamani wa soka nchini Argentina Digo Maradona amenyimwa kibali cha kuingia nchini Marekani baada ya kudaiwa 'kumtusi' rais Donald Trump katika runinga.
Endelea kutembelea Blog yetu
Raia wa Burundi wakatwa mishahara ili kuchangia hazina ya uchaguzi 2020
Wafanyakazi wa umma nchini Burundi wameanza kukatwa mishahara ili kufadhili uchaguzi mkuu unaotarajiwa mwaka wa elfu mbili na ishirini.
Katika kipindi cha miaka
Endelea kutembelea Blog yetu
UN yaambiwa Korea Kaskazini inakiuka vikwazo
Ripoti ya waangalizi huru wa Umoja wa Mataifa imebainisha kuwa Korea Kaskazini ilipata takriban dola milioni mia mbili mwaka uliopita kutokana na uuzaji wa bidhaa zilizopigwa marufuku katika mataifa ya nje huku ikikiuka vikwazo ilivyowekewa na jamii ya kimataifa,Ripoti hiyo iliyovuja kutoka kwa baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa imesema kuwa nchi kadhaa zikiwemo, China, Urusi na Malaysia zilishindwa kuzuia uuzaji huo.
Endelea kutembelea Blog yetu
Rais amkabidhi ‘kibarua’ kingine aliyekuwa Mwanasheria Mkuu wa Serikali
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt John Pombe Magufuli amewaapisha Majaji 2, Mwanasheria Mkuu wa Serikali na Naibu Mwanasheria Mkuu wa Serikali aliowateua tarehe 01 Februari, 2018.
Walioapishwa kuwa Majaji ni Mhe. George Mcheche Masaju na Mhe. Gerson John Mdemu.
Walioapishwa kuwa Majaji ni Mhe. George Mcheche Masaju na Mhe. Gerson John Mdemu.
- Mhe. Rais Magufuli amemuapisha Mhe. Dkt. Adelardus Lubango Kilangi kuwa Mwanasheria Mkuu wa Serikali na Mhe. Paul Joel Ngwembe kuwa Naibu Mwanasheria Mkuu wa Serikali.
Matukio yote mawili yamehudhuriwa na Makamu wa Rais Mhe. Samia Suluhu Hassan, Waziri Mkuu Mhe. Kassim Majaliwa Majaliwa, Jaji Mkuu wa Tanzania Mhe. Prof. Ibrahim Hamis Juma, Naibu Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Tulia Ackson Mwansasu, Katibu Mkuu Kiongozi Mhe. Balozi John Kijazi na viongozi wakuu wa vyombo vya ulinzi na usalama.
Endelea kutembelea Blog yetu
Kingunge kuagwa viwanja vya Karimjee
Mwili wa mwanasiasa mkongwe Kingunge Ngombale Mwiru utaagwa katika viwanja vya Karimjee jijini Dar es Salaam baada ya
Endelea kutembelea Blog yetu
Zitto ataka CCM, Chadema kusitisha kampeni
Kiongozi wa Chama cha ACT-Wazalendo, Zitto Kabwe ameviomba vyama vya Chadema na CCM kusimamisha kampeni za uchaguzi mdogo wa
Endelea kutembelea Blog yetu
Sheria Mpya Ya Madini Ya Mwaka 2017 Inataka Kurudisha Uchumi Kwa Wananchi:- Mhe Biteko
Na Mathias Canal, Shinyanga
"Sheria mpya ya madini ya mwaka 2017 inataka kurudisha uchumi wa madini kuwa uchumi fungamanishi kwa sekta nyingine, Hatuwezi kuwa na Mgodi ndani ya nchi ambao ajira zote zinapelekwa nje ya nchi kupitia huduma mbalimbali, unaweza kuagiza bidhaa za
Endelea kutembelea Blog yetu
SMS Ambayo Itamfanya Mwanamke Akutamani
Unaweza dhania kuwa kutuma ujumbe mfupi kwa mwanamke ili umsisimue haifai. Lakini kusema kwa hakika, inawezekana kumtumia mwanamke SMS ambayo inaweza kumsisimua na pia kupata atenshen kutoka kwake. Hii inaweza kufanya kazi vizuri iwapo umeingiwa na kibaridi cha kuongea na mwanamke moja kwa moja.
Kabla ujumbe ufupi kuvumbuliwa, wanaume walikuwa wakifuata mbinu nyingine kuonyesha kuwa wamevutiwa na wanawake waliowapenda.
Endelea kutembelea Blog yetu
Teken in op:
Plasings (Atom)