Chama
cha Mapinduzi (CCM), kimesema kipindi hiki cha msiba wa mwanasiasa
mkongwe nchini, Kingunge Ngombale Mwiru ndicho cha
Sondag, Februarie 04, 2018
Rais Magufuli mgeni rasmi misa ya kusimikwa Askofu mteule Jackson kuwa Askofu wa tano wa Kanisa Anglikana Tanzania, Dayosisi ya Dar es Salaam
Rais John Magufuli ni mgeni rasmi katika misa ya kusimikwa Jackson Sosthenes kuwa askofu wa tano wa Kanisa Anglikana
Waziri Nchemba: Vitambulisho Vya Taifa Vitaondoa Mapingamizi Ya Uraia Katika Chaguzi
Na Tiganya Vincent-rs Tabora
Vitambulisho
wa uraia vitasaidia kuwa na utambuzi wa wananchi utakao ondoa ile tabia
ya baadhi ya watu kutilia mashaka wakati wa
ZAO HILI LINAPATIKA HAPA NCHINI ILA DAAH
Zao hili la pilipili nizao ambalo wataalam wa Afya wanakuambia kuwa ukilitumia mara nyingi huwa linasaidia kuongeza joto mwilini lakini ukilitumia vibaya huleta madhara makubwa katika mwili wa binadamu .
bado wataalam hawa wanatuambia kuwa
HII NAYO KALI YA MWAKA Jamaa atia Pilipili kali kwenye nguo za ndani za Mkewe
Kuna stori nikizipata uwa lazima nihakikishe nakusogezea sasa hii ni ya
JE WAMJUA
Nimnyama wa kipekee ambaye
ONYO: Mwanamke Mwenye mimba asinywe hii dawa Tafadahali sana.
Sababu ya Acidity
• Uvutaji wa sigara kwa wingi
• Kunywa pombe kupita kiasi
• Vidonda vya tumbo
Vyakula vya wagonjwa wa UKIMWI
Dalili Hizi Zinaashiria Maambukizi ya Virusi vya UKIMW
Watu wengi wamekuwa ni waoga sana wa kupata vipimo vya ugonjwa kutokana na madhara ya kisaikolojia yanayojitokeza baada ya kujua kuhusu ugonjwa, wengi huamua kubaki kwenye hali ya sintofahamu.
Faida za kula nanasi kiafya
Nanasi lina vitamin A, B, C lakini pia lina madini ya chuma, calcium, phosphorus na copper. Pindi mtu atumiapo tunda hili lina uwezo mkubwa wa kuimarisha mifupa, meno.
Waziri Mkuu: Serikali kuimarisha masoko ya mazao
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa amesema Serikali inataka kuimarisha masoko ya mazao yanayolimwa nchini ili kuwawezesha wakulima kupata tija.
Taarifa iliyotolewa
MMILIKI WA BLOG AOMBA RADHI IN ENGLIDSH I apologize OWNER'S BLOG
Mmiliki wa blog hii ya Chrispin kalinga blog anawaombeni radhi wasomaji wake wote kwa tatizo la kiufundi lililo jitokeza ambalo limeanza kushughulikiwa...
Tatizo lenyewe ni muingiliano wa tarehe husika ya jana na leo hivyo tarehe ya habari inayo letwa kwako kusomeka kama ya jana kumbe ni ya leo hivyo tarehe itaandikwa kwa juu au mwanzo wa kicha cha habari
Asanteni.
The owner of this blog to Chrispin Kalinga blog is Call pleased its readers all the technical problem honorably emerged that has begun to be addressed ... The problem is the intervention of the relevant date of yesterday and today it on the news has brought you to read like yesterday and yet it is the today it will be written on the top or the beginning of the bundle of information Thank you.
Chrispiny kalinga blog
Teken in op:
Plasings (Atom)