Maandag, Februarie 05, 2018
Mke wa Majuto: Nilikua nakesha nikimuombea Mume wangu
MKE wa mchekeshaji maarufu Bongo, Amri Athuman ‘Majuto’, Aisha Yusuf amesema kuwa siku za hivi karibuni alipoanza kuugua tena mumewe amekuwa akikesha na kumuombea arudi katika hali ya kawaida kwani anapoumwa vitu vyote vinalala.
Mke huyo alisema mume wake ni mcheshi sana na ni mtu anayeifanya familia kuwa na furaha kila wakati sasa anapokuwa mgonjwa nyumba inakuwa haina amani kabisa na hata watoto ambao amezoea kucheza nao wanapoa.
“Kila siku dua zangu ni kwa mume wangu maana ndiyo nguzo katika familia yetu na ni mtu mcheshi sana kwa familia hivyo namuombea sana apone maana ndiye furaha yangu,“ alisema mke wa Majuto.
Bashe Aichambua Serikali
Mbunge wa Nzega Mjini, Hussein Bashe (CCM) amefunguka na kusema kuwa kwa twakimu mbalimbali ambazo zinatolewa na BoT zinaonyesha mambo hayapo sawa hivyo kuna haja kubwa kwa Serikali kupitia Waziri wa
Tume Ya Uchaguzi (NEC) Yajibu Upotoshwaji Wa CHADEMA Kuhusu Kuhamisha Vituo Jimbo La Kinondoni
Hussein Makame, NEC
Tume ya Taifa ya Uchaguzi imesema uamuzi wa kuhamisha vituo 46 vya kupigia kura katika jimbo la Kinondoni umezingatia matakwa ya kanuni za Uchaguzi kwa kuvishirikisha vyama vyote vya siasa ikiwemo Chama cha
Mgombea CHADEMA Atoweka
WAKATI kampeni za ubunge na udiwani zikiendelea, mgombea udiwani (Chadema) Kata ya Buhangaza wilayani Muleba amepotea katika mazingira ya kutatanisha.
Mahakama ya Rufaa yamwondolea DPP mamlaka ya kuzuia dhamana za Washitakiwa
Mahakama ya Rufaa imemwondolea Mkurugenzi wa Mashtaka (DPP) mamlaka ya kuzuia dhamana ya mshtakiwa bila hata kulazimika kutoa sababu, baada ya kubatilisha kifungu cha 148 (4) cha Sheria ya Mwenendo wa Mashauri ya Jinai, kinachompa mamlaka hayo.
Wastara amwaga chozi akiaga kwenda kutibiwa
Muigizaji wa filamu nchini Tanzania, Wastara ameondoka nchini kuelekea India kwa ajili ya matibabu ya mguu wake ulioanza kumsumbua mwishoni mwa mwaka jana huku akiwashukuru watanazania na Vyombo vya Habari kwa kuwa pamoja naye kipindi alivyokuwa akihitaji msaada wa fedha.
Sondag, Februarie 04, 2018
Ndege ya kivita ya Urusi yashambuliwa Syria
Ndege ya kivita ya Syria imeshambuliwa na kuangushwa Idlib nchini Syria.
Kwa mujibu wa habari,ndege hiyo ya kivita ya Su-25 ilishambuliwa na kuanguka.
Waziri wa Kilimo, Charles Tizeba ameagiza Wataalam wa Ugani na Maofisa Kilimo 60 kutoka wizarani kwake na Chuo cha Kilimo na Taasisi ya Utafiti Ukiriguru kupelekwa mikoa inayolima pamba kusaidia unyunyiziaji wa dawa za kuua wadudu.
Chanzo cha Tatizo la Upungufu wa Nguvu za Kiume na Tiba Yake
Tendo la ndoa limengawanyika katika makundi matatu baadhi yake makudi hayo niuhanisi, kufanya tendo la ndoa maramoja na kushidwa kurudia tena
Pata Tiba ya Tatizo la Nguvu Za Kiume........Inasaidia Kukufanya Urudie Mara 5 na kuchelewa kwa Dakika 20
TATIZO LA UPUNGUFU WA NGUVU ZA KIUME NA MAUMBILE MADOGO LINATIBIKA.Baada ya utafiti wa mda mrefu juu ya matatizo ya upungufu wa nguvu za kiume na ukosaji wa hamu ya tendo la ndoa
Kamishna wa TRA amsimamisha kazi Meneja wa Mara
Kamishna Mkuu wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA), Charles Kichere amemsimamisha kazi Meneja wa TRA Mkoa wa Mara Nicodemus Mwakilembe kwa kushindwa kusimamia vizuri mashine za
Teken in op:
Plasings (Atom)