Serikali imesema hifadhi ya Mlima wa Kilimanjaro katika kipindi cha miaka kumi kuanzia mwaka 2007 hadi 2017 imeingiza mapato ya Shilingi Bilioni 471 kupitia shughuli za utalii.
The reader of the blog Chrispin Kalinga blog I would like to wish you a good night but also a good reading of the various reports all corners of the world do not forget to tell with a colleague on the blog loved adverts and information.
Taasisi ya Sekta Binafsi (TPSF) imeiomba Serikali ya China ifanye Tanzania kuwa kipaumbele chake katika uwekezaji kwa sababu mazingira yake ni mazuri na ina vivutio vingi ya uwekezaji.
'Hitmaker' wa Ngarenaro, Dogo Janja amemchana msanii Edu Boy kwa aina yake ya uimbaji ya kuwa-diss wasanii wenzake katika mashairi yake na kudai kuwa anachokifanya ni utoto mtupu na kwamba hawezi kufaidika na lolote.
Mbele ya kamera za eNEWZ Dogo Janja amesema kwamba msanii anapaswa kuimba kitu ambacho hata kizazi kijacho kikipata fursa ya kuskiliza nyimbo zao kitajifunza kitu kupitia mashairi ya msanii husika.
Dogo Janja ameendelea kusema kwamba "mpaka sasa tunasikiliza nyimbo walizoimba wasanii wa zamani kama kina Mbaraka Mwinshehe kwa kuwa waliimba nyimbo zenye maadili na zenye ujumbe kwa jamii lakini pale unapoamka na kuanza kuandika mashairi ya kumchana msanii mwenzio huwezi kuwa na historia nzuri kwenye sanaa".
Msanii huyo amedai kwamba Edu Boy ni kama mdogo wake kwenye sanaa kwa kuwa amemkuta kwenye sanaa na kusema kuandika wimbo unaowachana wasanii wezake inakuwa kama umeamka na mawazo yako alafu unaamua kuyamalizia kwa wasanii wezako kwani anachoamini ni kwamba hata ukiwachana wasanii wezako huwezi kufaidika kwa lolote.
Waziri wa kilimo Mh.Dkt.Charles Tizeba amesema serikali inakusudia kutunga sheria ya kilimo ambayo itatoa mwongozo na kanuni za kufuatwa na wadau wote wa sekta ya kilimo nchini ili kuongeza uwajibikaji zaidi na kuinua kilimo kwa shabaha ya kuondokana na kilimo cha mazoea
Mbunge na Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Geita, Joseph Msukuma amemshambulia kwa maneno Waziri wa Mifugo na Uvuvi Luhaga Mpina juu ya 'operation' anazozifanya za kionevu za kupambana na uvuvi haramu kwa kumwambia aache kufanya kazi kwa mihemuko.
Naibu Mkurugenzi wa Habari, Uenezi na Mahusiano na Umma wa CUF kwa upande wa Maalim Seif, Mbarala Maharagande amefunguka na kuweka wazi kuwa Profesa Lipumba pamoja na genge lake wamepanga njama kuwafukuza madiwani wote wa CUF Dar es Salaam.
Meneja wa mamlaka ya maji Ludewa Bw.Mwinuka Gregory akitoa ufafanuzi kwa wajumbe wa Pets. siku kadhaa zimepita baada ya ukaguzi huo HABARI IMEANDIKWA NA