Sondag, Februarie 11, 2018

blog inabadilika jina na kuitwa MBASHARA BLOG

MILIKI WA BLOG YA CHRISPIN KALINGA BLOG ANAPENDA KUKUTAARIFU MSOMAJI WAKE KUWA BLOG INABADILISHWA JINA NA KUITWA MBASHARA BLOG

MAHANDI YAUZWA KAMA MTUMBA

Picha ya Ado Junior
Wafanya biashara wilayani njombe mkoani njombe wialalamikia Serikali kwa kufunga mipaka ya kutoa mahindi yasitoke nje ya Nchi kwa madai nchi iwe na chakula cha kutosha 

WAHI UPATE OFA YA KUSOMA BURE KABISA..Eckros school of journalis





Chuo cha uandishi wa habari na utangazaji Eckros school of journalism kinakutangazia nafasi za masomo kwa mwaka 2018-2019 kwa kozi zifuatazo kwa ngazi ya
cheti.
.Uandishi wa habari na utangazaji
.Uongozaji wa hotel za kimataifa
.Ualimu wa awali
.Mafunzo ya udereva
.Mafunzo ya kompyuta program zote

B2K AWAKOSHA WANATUNDUMA

Picha ya B-k Mnyama
Manii wa Bongo FLEVA Anafahamika kwa jina la B2K anatarajia kufanya vitu vizuli katika siku ya sikuKuu ya wapendanao hali maalufu kama VALENTINE DAY 

Mambo 5 Ya Kuzingatia, Kama Wewe Ni Mjasiriamali Unayetaka Mafanikio Makubwa

Mafanikio ni kitu cha lazima sana katika safari ya mjasiriamali. Uwe mjasiriamali mdogo, wa kati au mkubwa kwa vyovyote vile  unahitaji mafanikio. Lakini ili kufanikiwa na kufikia mafanikio hayo,  yapo mambo ya msingi ambayo unatakiwa kuyazingatia.

Mambo hayo ni kama haya yafuatayo:-

Tangazo la Majina ya Watumishi wa Umma wanaostahili kulipwa madai ya malimbikizo ya Mishahara baada ya Uhakiki

Tangazo la Majina ya Watumishi wa Umma wanaostahili kulipwa madai ya malimbikizo ya Mishahara baada ya Uhakiki

Habari Zilizopo Katika Magazeti ya Leo Jumapili ya February 11

Saterdag, Februarie 10, 2018

Serikali yawasha moto Bungeni kuhusu madanguro, biashara ya ngono


Serikali imesema ina andaa mikakati itakayowezesha kudhibiti biashara ya ngono na uwepo madanguro nchini, hasa kwenye maeneo ya mijini.

Vrydag, Februarie 09, 2018

RC,RUKWA APIGANA NA PANYA




Mkuu wa Mkoa wa Rukwa Mh. Joachim Wangabo amemuagiza Mkuu wa Wilaya ya Sumbwanga Dk. Khalfan Haule kuhakikisha anatafuta dawa ya kuulia panya wakiwa mashambani ili kuokoa miti kutokana na uchomaji wa misitu kwasababu ya uwindaji wa panya.

Shahidi akana kuona mkojo wa Wema Sepetu

Kesi ya msanii  Wema Sepetu ya kukutwa na msokoto wa bangi imesikilizwa jana February 8, 2018 katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu ambapo Inspekta wa Polisi, Wille aliieleza Mahakama kuwa hakuwepo wakati Wema akichukuliwa sampuli ya mkojo kwa Mkemia Mkuu wa serikali.

Donderdag, Februarie 08, 2018

Sakata la Msamaha wa Babu Seya na Mwanaye Laibuka Bungeni

Mbunge wa Temeke kwa tiketi ya (CUF) Mhe. Abdalah Mtolea ameibua sakata la kusamehewa Babu Seya na mwanae, Johnson Nguza 'Papii Kocha' na kusema halikuwa jambo jema kwa kuwa watu hao mahakama iliwabaini kuwa ni wabakaji.

Meneja wa Diamond Amtolea Uvivu Ruge Mutahaba wa Clouds Media

Meneja wa label ya WCB, Sallam SK amefunguka kwa kuendelea kudai kw Fmamba kampuni yao haina tatizo na chombo chochote cha habari isipokuwa Ruge Mutahaba ambaye ni Mkurugenzi wa Uzalishaji wa Vipindi Clouds FM na Clouds TV ndio mwenye tatizo na label hiyo.

WAZIRI MAJALIWA AWAPINGA CHADEMA

Waziri Mkuu  Kassim Majaliwa amesema hajui kama kuna kata ambayo mgombea wa Chadema ilishinda lakini hakutangazwa, badala yake akatangazwa mshindi kutoka chama kingine cha siasa.

Ametoa kauli hiyo leo Februari 8, 2018 bungeni Dodoma katika kipindi cha maswali ya papo kwa hapo kwa Waziri Mkuu, wakati akijibu swali la mbunge wa viti maalumu (Chadema), Devotha Minja.

Katika swali lake, Minja ametaka kujua Serikali inasema nini kuhusu ukandamizwaji wa haki unaofanywa na wasimamizi wa uchaguzi ambao wanawatangaza wagombea ambao hawakushinda na kuwaacha walioshinda.

Mbunge huyo ametoa mfano wa Kata ya Sofi mkoani Morogoro ambako mgombea wa Chadema alipata kura 1908, wa  CCM kura 1878.

Pia, ametaja Kata ya Siyui mkoani Singida, mgombea wa Chadema alipata kura 1,358 huku wa CCM akipata kura 1304, lakini waliotangazwa wote walikuwa wa chama tawala.

Katika majibu yake, Waziri Majaliwa amesema hatarajii kuwa tume inaweza kuwatangaza walioshindwa na kuwaacha washindi.

"Lakini sheria zinaipa nafasi Tume  ya Uchaguzi (NEC) kukutana na vyama vinavyogombea ili kuwapo na nafasi ya kujadiliana kwenye upungufu," amesema Majaliwa.

Hata hivyo, amewataka wanaohisi kuonewa waende mahakamani kudai ushindi wao katika kipindi kisichozidi miezi mitatu ili sheria itazamwe kwenye ushindi huo.


Chrispiny kalinga blog