Msajili wa Vyama vya Siasa nchini, Jaji Francis Mutungi amekiandikia barua Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) akitaka kijieleza kwa nini asikichukulie hatua kwa kufanya maandamano Februari 16, 2018.
Sondag, Februarie 25, 2018
Donderdag, Februarie 22, 2018
MWAMWA KALINGA AKIWA KWENYE MAJARIBIO YA RUNINGA
Mmiliki wa mtandao huu wa blog akifanyiwa majaribio na kurugenzi wa chuo cha uandishi wa habari kwa lengo la kuangaliwa kama alikuwa makini darasani
Chrispiny kalinga blog
wa kwanza kushoto ni daniel lameck na wapili alioye vaa shati ya njano ni Host wa kipindi ni Chrispin kalinga na aliye vaa kofia ni Mkurugenzi wa Chuo cha Uandishi wa habari mkoani njombe maeneo uya sabasaba na wamwisho kulia ni jeremia Makweta.
Chrispiny kalinga blog
Mwili wa Akwilina ulivyochukuliwa Muhimbili kupelekwa NIT kuagwa
Kamanda wa Polisi Kanda Maalumu ya Dar es Salaam, Lazaro Mambosasa aliongoza msafara wa magari, likiwemo lililobeba mwili wa mwanafunzi wa Chuo cha Taifa cha Usafirishaji (NIT), Akwilina Akwiline kutoka Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH) kuelekea katika viwanja vya chuo hicho kwa ajili ya kuagwa.
Jeneza lenye mwili wa mwanafunzi lilikuwa katika gari maalumu la kubebea maiti.
Baada ya kuaga mwili wa mwanafunzi huyo, saa 10 jioni safari kuelekea wilayani Rombo mkoani Kilimanjaro kwa mazishi itaanza. Akwilina atazikwa kesho
Chrispiny kalinga blog
Taarifa Muhimu Toka Kurugenzi ya Mawasiliano ya Rais IKULU
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli ametoa wito kwa nchi wanachama wa Jumuiya ya Afrika Mashariki kusimamia vizuri rasilimali walizonazo na kukusanya kodi vizuri ili waweze kutekeleza miradi mikubwa ya ujenzi wa miundombinu na kuimarisha huduma za afya kwa wananchi.
Woensdag, Februarie 21, 2018
Teken in op:
Opmerkings (Atom)


















