Hayo yamebainishwa na Mkurugenzi wa Mawasiliano ya Rais- Ikulu, Gerson Msigwa asubuhi ya leo katika ukurasa wake maalumu wa kijamii na kusema taarifa hizo ni uzushi mtupu hazina ukweli wowote ambayo imetengenezwa na wahalifu wa mtandao.
Woensdag, April 04, 2018
Lulu atoa mchango wake akiwa gerezani
Rais Magufuli amteua Mkemia Mkuu wa Serikali mpya
Rais Magufuli Kuzindua Ukuta Katika Migodi ya Tanzanite
Dinsdag, April 03, 2018
Kesi ya Mbowe na Viongozi Wengine wa CHADEMA Kusikilizwa April 16
Saterdag, Maart 24, 2018
Serikali yafunguka kuhusu kufungia mitandao
NA ISMAEL MOHAMED
Serikali ya awamu ya tano ya Rais Dkt. John Magufuli imekanusha taarifa ya kufungia mitandao ya kijamii kama inavyoelezwa na baadhi ya watu na kuitaka jamii kuzipuuza endapo watakutana nazo mitandaoni.
Jela Miaka Minne kwa Kosa la Kumpa Mimba Binti yake
MAASKOFU WANENA MANENO MAZITO
Watu 27 wakamatwa kwa madai ya kuchoma kituo cha polisi
Video Queen wa ngoma ‘Natamba’ Ya Aslay Akanusha Kutoka Nae Kimapenzi
MWANAFUNZI APIGWA NA RADI AFARIKI LUDEWA,
Na Maiko Luoga Ludewa.
Tukio lililotokea siku March 20 mwaka huu la Kupigwa na Radi Wanafunzi 26 Katika Shule ya Msingi Itundu iliyopo katika Kata ya Mlangali wilayani Ludewa katika Mkoa Wa Njombe Limesababisha Kifo cha Mwanafunzi Mmoja Aliyeitwa Sophia Msemwa aliyekuwa na Umri Wa Miaka 12 Mwanafunzi Wa Darasa la Sita.
KILELE CHA MAJI, MITI YAPANDWA LUDEWA
Katikati Ni Mkuu Wa Wilaya ya Ludewa Andrea Tsere akiwa na Muhandisi wa maji Ludewa Nasib Mlenge wakwanza kulia na Katibu wa Vijana CCM Wilaya ya Ludewa Kushoto. |
DC Ludewa Andrea Tsere Akipanda Mti Kandokando ya Chanzo cha Maji Mapetu. |
Makamu Mwenyekiti wa Halmashauri ya Wilaya ya Ludewa Bi.Monica Mchilo ambae pia ni Diwani wa kata ya Ludewa Akipanda mti. |
Kaimu Mkurugenzi Halmashauri ya Ludewa Bw. Matenus Ndumbaro akipanda Mti. |
Muhandisi wa Maji Ludewa Injinia Nasibu Mlenge Akipanda mti |
Na Maiko Luoga Ludewa,
Kila Ifikapo March 22 ya Kila mwaka Tanzania Huungana Na Nchi Nyingine Kuadhimisha Siku ya Maji Duniani Ambapo kwa Mwaka huu 2018 Maadhimisho hayo yamefanyika March 22 Katika Maeneo mbalimbali hapa nchini yakiongozwa na Kaulimbiu isemayo "Hifadhi Maji na Mfumo Wa Ikolojia kwa maendeleo ya Jamii.
ZAIDI YA WANACHAMA 320 WAJIUNGA NA UWT,CCM CHUNYA,MBEYA
Teken in op:
Plasings (Atom)