Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amewataka mabalozi wanaoiwakilisha Tanzania nchini Urusi na Rwanda kutumia fursa hiyo kwa kutangaza vivutio vilivyopo nchini ili kuwavutia wawekezaji kuja kuwekeza kwenye sekta mbalimbali ikiwemo ya utalii.
Maandag, April 09, 2018
Padri auawa DRC
Kasisi wa kanisa katoliki amepigwa risasi na kufa Mashariki mwa Jamhuri ya Kidemkrasia ya Kongo.
Vyanzo vya habari kutoka Kaskazini mwa jimbo la Kivu vimearifu kuwa Padri Étienne Nsengiunva alikuwa akikomnisha waumini na ndipo wakati mtu mwenye silaha alipoingia kanisani na kumpiga risasi.
Tukio hilo lilijiri wakati wa sherehe za ibada ya ubatizo wa wakristo wapya na wanandoa wapya.
Taarifa zinadai kuwa muuaji huyo ni kutoka katika kundi la waasi wa Mai Mai Nyatura ambalo ni miongoni mwa vikundi vinavyopambana kudhibiti jimbo hilo lenye rasilimali za madini lakini pia uporaji wa fedha kutoka kwa wanavijiji.
mubashara blog +255753121916
Adhabu ya Kifo Mali, yashutumiwa
Musiba awavaa TEF, awataka kutotumika kisiasa
Sondag, April 08, 2018
watu 90 wauawa Douma, Syria kwa shambulio linalodhaniwa kuwa ya kemikali
nukuu kutoka bbc swahili.
Rais wa Marekani Donald Trump amemkemea vikali rais wa Syria Bashar al-Assadna washirika wake Urusi na Iran juu ya shambulio linalodhaniwa kuwa ni la kikemikali, akisema kuwa kuwa "watakuwa na gharama kubwa ya kulipia shambulio hilo ".
Zaidi ya Wananchi 100 hawana makazi Msitu wa Tembo Simanjiro
Mwakyembe anena neno zito.
Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Dkt Harrison Mwakyembe, amewaasa Watanzania kuhakikisha wanapambana na viashiria vyote vinavyoweza kusababisha uvunjifu wa amani na mauaji ya kimbari. Kauli hiyo Dkt. Mwakyembe ameitoa wakati wa maadhimisho ya kumbukumbu za mauaji ya kimbari yaliyotokea nchini Rwanda miaka 24 iliyopita.
BREAKING: MWANDISHI WA HABARI AVAMIWA NA WASIO JULIKANA
Mwakyembe anena neno zito.
Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Dkt Harrison Mwakyembe, amewaasa Watanzania kuhakikisha wanapambana na viashiria vyote vinavyoweza kusababisha uvunjifu wa amani na mauaji ya kimbari. Kauli hiyo Dkt. Mwakyembe ameitoa wakati wa maadhimisho ya kumbukumbu za mauaji ya kimbari yaliyotokea nchini Rwanda miaka 24 iliyopita.
Meya aliyesifiwa na Rais asema kuhusu kuhama
Teken in op:
Plasings (Atom)