Vrydag, Mei 11, 2018

Wanahabari Wamkalia Kooni Rais Kenyatta


KAMATI ya kutetea wanahabari nchini Kenya, imemuomba Rais Uhuru Kenyatta asiusaini muswada wa sheria ya makosa ya kimtandao ya mwaka 2017 uliopitishwa na Bunge la nchi hiyo hivi karibuni.

Mbosso Atoa Siri ya Video Zake


Muimbaji Mbosso kutoka label ya WCB, Mbosso amesema video za ngoma zake ambazo zinatoka kwa sasa zilifanyika kipindi kirefu sana.

Uwoya Ahama Nyumba Kuhofia Mzuka Wa Masogange

Muigizaji wa Bongo movie Irene Uwoya amesema tangu rafiki yake Agnes Gerald ‘Masogange’ atangulie mbele ya haki amekuwa akihofia kutokewa na mzuka wake.

Mkurugenzi CDA Afikishwa Mahakamani Kwa Matumizi Mabaya ya Madaraka

Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (Takukuru), Dodoma, jana ilimpandisha kizimbani aliyekuwa Mkurugenzi wa iliyokuwa Mamlaka ya Ustawishaji Makao Makuu (CDA) Paschal Muragili kwa madai ya matumizi mabaya ya madaraka.

Wolper akubali yaishe kwa Harmonize

Malkia wa filamu, Jacqueline Wolper ameamua kunyamaza na kusitisha malumbano yaliyoanza kwenye mitandao kati yake na aliyekuwa mpenzi wake wa zamani, Harmonize.

ambosasa: Mange Kimambi Ni Mwenzetu Sasa Hivi,amerudi Kundini Na Anatupongeza

Kamanda wa Kanda maalum ya Dar es Salaam Lazaro Mambosasa ametoa wito kwa vijana kuacha ushabiki bila kuchunguza madhara yake.

Profesa Jay amtabiria Sugu kuwa Rais wa Tanzania

Mbunge wa Mikumi (Chadema), Joseph Haule ‘Profesa J’ amempongeza mbunge mwenzake wa Mbeya Mjini, Joseph Mbilinyi ‘Sugu’ kwa kuhitimisha mafunzo ya kisiasa na kusema sasa Sugu, anasubiri kuwa Rais wa Tanzania.

WAKAZI NJOMBE WAWAWASHIA MOTO IDARA YA MAJI

Image result for idara ya maji njombe
picha ya mtandaoni.

NJOMBE 

Na yohana ndone

wakazi wa wilaya ya njombe mkoani humu wailalamikia mamlaka ya maji safi na usafi wa mazingira kwa utoaji wa bili kubwa ukilinganisha na matumizi yao ya kila siku.

Chombo cha Satelaiti kilichoundwa Kenya kitarushwa katika anga za juu leo kutoka Japan

Mfano wa Satelaiti ndogoHaki miliki ya pichaSKY AND SPACE GLOBAL
Image captionMfano wa Satelaiti ndogo
Kenya inajiandaa kutimiza ndoto kubwa ya kisayansi leo Ijumaa. Chombo cha Satelaiti kilichoundwa nchini humo kitarushwa katika anga za juu hii leo kutoka nchini Japan.

NANDI AJA KIVINGINE OMMY DIMPOZ KINYWA....


Msanii wa muziki wa Bongo fleva Nandy ambaye sasa anafanya vyema na wimbo wake 'Ninogeshe' amemshusha chini katika mtandao wa Youtube msanii Ommy Dimpoz ambaye naye anafanya vyema na wimbo wake wa 'Yanje'.

Magazeti ya Leo Ijumaa ya May 11

Serikali yatangaza nafasi za kazi 6180

Serikali imetangaza nafasi za kazi zaidi ya 6,180 katika sekta ya afya nchini na kuwataka wananchi wenye sifa stahiki kuomba nafasi hizo ili kuweza kutatua changamoto ya upungufu wa watumishi katika vituo vya Afya, Zahanati na Hospitali za Wilaya.

Profesa Mwandosya: "Hongera Sugu umehitimu chuo cha uanasiasa gerezani"

Waziri wa serikali ya awamu ya nne Prof. Mark Mwandosya ameingia katika Orodha  ya watu walioonesha furaha yao baada ya Mbunge wa Mbeya Mjini Joseph Mbilinyi kuachiliwa jana  kutoka gerezani ambapo alihukumiwa kifungo cha miezi mitano.