Woensdag, Mei 16, 2018

USIKU WA MAHABA NA KIBOKO CHA MADANGA SIKILIZA LIVE BILA CHENGA

































m



SIKILIZA KIPINDI BORA KABISA CHA USIKU WA MAHABA HAPA NA MUBASHARA BLOG 

ubashara blog

+255753121916

Nape Aitaka Serikali Kujipanga Upya Bajeti Ya Kilimo

Mbunge wa Mtama, Nape Nnauye (CCM), ameishauri serikali kuiondoa bungeni Bajeti ya Wizara ya Kilimo kwa mwaka wa fedha 2018/19 ili ikajipange upya na kuiboresha bajeti hiyo.

Wahamiaji Haramu 236 Wakamatwa Tanga

Wahamiaji haramu 236 wamekamatwa mkoani Tanga kwa kuingia nchini bila kibali katika maeneo mbalimbali kwa kipindi cha Januari hadi Mei 16 mwaka huu.

Kenyatta Atia saini sheria ya makosa ya mtandaoni Ambapo Faini yake ni Milioni 100 Ukikutwa na Hatia

Rais wa Kenya Uhuru Kenyatta ametia saini mswada wa Sheria ya Uhalifu wa Kompyuta na Mtandaoni ya mwaka 2018 kuwa Sheria, hatua hii itatoa adhabu kali kwa watakaopatikana na makossa ya mtandaoni.

Kondakta Atiwa mbaroni kwa kukutwa na vipodozi vilivyopigwa marufuku

Jeshi la Polisi Mkoa wa Morogoro linamshikilia  kondakta wa kampuni  moja ya mabasi yanayofanya safari kati ya Dar es Salaam na Mbeya,baada ya kumkuta na vipodozi vilivyopigwa marufuku.

Maandag, Mei 14, 2018

Watu wanne wafikishwa Mahakamani kwa mauaji ya Mchungaji

Image result for magereza
Leo May 14, 2018 Kesi ya mauaji inayowakabili watu wanne akiwemo Afisa Mwandamizi wa Kanisa la International Evangalism Church (IEC), Obadiah Nanyaro(60)imeahirishwa  katika mahakama ya hakimu mkazi Arusha baada upelelezi kutokamilika.

Uingereza: "Hutana mpango wa kuhamisha ubalozi wetu uliopo Tel Aviv"


Msemaji wa waziri mkuu wa Uingereza afahamisha kuwa serikali ya waziri mkuu Theresa May haina mpango wa kuhamisha ubalozi wake uliopo mjini Tel Aviv kutoka mjini Yerusalemu.

Yanga SC Yaingiliwa na Azam FC kwenye usajili


BAADA ya Yanga kuiandikia barua Lipuli FC ya kumhitaji straika wa timu hiyo, Adam Salamba, imeelezwa kuwa, Azam nayo imetuma maombi ya kuitaka saini ya mchezaji huyo kwa ajili ya kumtumia msimu ujao.

Yanga imebakiza nafasi moja kufuta machungu


Michuano ya Kombe la Kagame iliyopangwa kupigwa mwezi ujao Jijini Dar es Salaam huenda ikawa zali kwa Yanga ambayo kama ikicheza karata zake vizuri inaweza kufuta machungu ya msimu mzima wa Ligi Kuu Tanzania Bara.

Simba wapokelewa kwa Shangwe Bungeni


KLABU ya Simba ambao ni Mabingwa wapya wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara (VPL) mwaka 2017/18, leo Jumatatu, Mei 14, 2018 wametinga Bungeni jijini Dodoma baada ya kupata mwaliko wa Spika Job Ndugai.

Waziri Ummy atoa Ufafanuzi kuhusu Upimaji wa UKIMWI bar kwa bar


Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia na Watoto, Ummy Mwalimu amesema utaratibu wa upimaji wa kifua kikuu na UKIMWI bar kwa bar sio wa lazima, ila watatumia ushawishi kuhakikisha wananchi wanapima na kujua afya zao.

Wema Sepetu aeleza sababu za kushindwa kufika kwenye uzinduzi wa filamu ya Aunt Ezekiel

Msanii Kiwango wa filamu Bongo, Wema Sepetu ameeleza sababu ya kushindwa kuhudhuria kwenye uzinduzi wa filamu fupi ya dakika 20 ‘MAMA’ ya Aunt Ezekiel iliyofanyika usiku wa jana (Jumapili) Mlimani City jijini Dar es Salaam.