Maandag, Julie 30, 2018

OFA MAALUM KWA WATANZANI KIJANA CHANGAMKIA



Mkuu wa chuo cha Uandishi wa Habari na Utangazaji ECKROS kilichopo mkoa wa NJOMBE anayo furaha kuwa julisha wale wote walio hitimu kidato cha nne kuwa chuo kinapokea maombi kwa ajili ya kujiunga na kozi zifuatazo:-
1.   Uandishi wa Habari na Utangazaji  (Radio na TV)

2.   Mafunzo ya uongozi wa hoteli
3.   Ualimu wa Chekechea na awali
4.   Mafunzo ya Computer
5.   Uandaaji wa Video na Muziki
6.   Mafunzo ya udereva wa magari
Chuo kinapatikana mkoa wa Njombe Ndani ya uwanja wa sabasaba. Kwa maelezo zaidi tupigie simu nambari,
0762795251 au 0653795251 au 0625838485

NYOTE MUNAKARIBISHWA KWA ELIMU BORA

mubashara blog +255753121916

Geen opmerkings nie:

Plaas 'n opmerking