Vrydag, Maart 29, 2019

MUBASHARA BLOG INATOA POLE KWA UPLANDS FM PAMOJA NA NDUGU JAMAA NA MARAFIKI

Image may contain: 1 person, standing

uongozi wa Mubashara Blog unatoa pole kwa Uplands Fm pamoja na ndugu jamaa na marafiki kwa kufikwa na msiba wa  SHABANI LUPA ambaye alikuwa Mfanyakazi wao
lakini pia ndugu zao na marafiki zao,Mwenyezi Mungu mwingi wa faraja awafariji,Bwana Ametoa na Bwana alitoa Jina la bwana Lihimidiwe.AMENI
mubashara blog +255753121916

Geen opmerkings nie:

Plaas 'n opmerking