Sondag, Februarie 04, 2018

Faida za kula nanasi kiafya


Nanasi lina vitamin A, B, C lakini pia lina madini ya chuma, calcium, phosphorus na copper. Pindi mtu atumiapo tunda hili  lina uwezo mkubwa wa kuimarisha  mifupa, meno.

Waziri Mkuu: Serikali kuimarisha masoko ya mazao


Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa amesema Serikali inataka kuimarisha masoko ya mazao yanayolimwa nchini ili kuwawezesha wakulima kupata tija.

Taarifa iliyotolewa

Habari Zilizopo Katika Magazeti ya Leo Jumapili ya February 4

MMILIKI WA BLOG AOMBA RADHI IN ENGLIDSH I apologize OWNER'S BLOG

Picha ya Mwamwa Kalinga Chrispin
Mmiliki wa blog hii ya Chrispin kalinga blog anawaombeni radhi wasomaji wake wote kwa tatizo la kiufundi lililo jitokeza ambalo limeanza kushughulikiwa...
 Tatizo lenyewe ni muingiliano wa tarehe husika ya jana na leo hivyo tarehe ya habari inayo letwa kwako kusomeka kama ya jana kumbe ni ya leo hivyo tarehe itaandikwa kwa juu au mwanzo wa kicha cha habari
Asanteni.

The owner of this blog to Chrispin Kalinga blog is Call pleased its readers all the technical problem honorably emerged that has begun to be addressed ... The problem is the intervention of the relevant date of yesterday and today it on the news has brought you to read like yesterday and yet it is the today it will be written on the top or the beginning of the bundle of information Thank you.

Chrispiny kalinga blog

Saterdag, Februarie 03, 2018

Mambo ambayo msichana ambaye yupo singe anatakiwa kuyafahamu


Siku ya leo naomba nizungumze na wale wadada wote ambao hawajoelewa au kwa kibantu huitwa (single ladies).  Ewe mwanadada yapo mambo ya msingi ambayo unapaswa kuyafahamu kabla ya kuolewa na mambo hayo ni;

1.    Usiharakishe kutoka nyumbani kwa

Mwanamuziki Rihanna 'hakaribishwi' Senegal

Rihanna msanii wa kimataifa

Haki miliki ya pichaGETTY IMAGES
Image captionRihanna msanii wa kimataifa
Mwanamuziki wa kimataifa Rihanna anategemewa kuhudhuria mkutano mkubwa nchini Senegal,lakini vikundi vya dini nchini humo wamekataa kumpokea, chombo ch habari cha Jeune Afrique kimeripoti.

Tottenham imejiandaa kumuuza mshambuliaji wa Uingereza

Mshambuliaji wa Tottenham Hotspurs Harry Kane


Image captionMshambuliaji wa Tottenham Hotspurs Harry Kane

Tottenham imejiandaa kumuuza mshambuliaji wa Uingereza Harry Kane 24 kwa Real Madrid iwapo timu hiyo hataipatia presha na kwamba watalipwa dau la £176m. (Mundo Deportivo - in Spanish]

Maradona anyimwa visa ya kuingia Marekani kwa kumtusi Trump

Maradona anyimwa visa ya kuingia Marekani kwa kumtusi Trump
Nyota wa zamani wa soka nchini Argentina Digo Maradona amenyimwa kibali cha kuingia nchini Marekani baada ya kudaiwa 'kumtusi' rais Donald Trump katika runinga.

Raia wa Burundi wakatwa mishahara ili kuchangia hazina ya uchaguzi 2020

Rais wa Burundi Pierre Nkurunziza
Wafanyakazi wa umma nchini Burundi wameanza kukatwa mishahara ili kufadhili uchaguzi mkuu unaotarajiwa mwaka wa elfu mbili na ishirini.
Katika kipindi cha miaka

UN yaambiwa Korea Kaskazini inakiuka vikwazo

Inasemekana Korea Kaskazini ilituma shehena ya silaha hadi nchini Syria na Myanmar huku ikikiuka vikwazo hivyo vya Umoja wa Mataifa.
Ripoti ya waangalizi huru wa Umoja wa Mataifa imebainisha kuwa Korea Kaskazini ilipata takriban dola milioni mia mbili mwaka uliopita kutokana na uuzaji wa bidhaa zilizopigwa marufuku katika mataifa ya nje huku ikikiuka vikwazo ilivyowekewa na jamii ya kimataifa,Ripoti hiyo iliyovuja kutoka kwa baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa imesema kuwa nchi kadhaa zikiwemo, China, Urusi na Malaysia zilishindwa kuzuia uuzaji huo.

Rais amkabidhi ‘kibarua’ kingine aliyekuwa Mwanasheria Mkuu wa Serikali



Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt John Pombe Magufuli amewaapisha Majaji 2, Mwanasheria Mkuu wa Serikali na Naibu Mwanasheria Mkuu wa Serikali aliowateua tarehe 01 Februari, 2018.

Walioapishwa kuwa Majaji ni Mhe. George Mcheche Masaju na Mhe. Gerson John Mdemu.
  • Mhe. Rais Magufuli amemuapisha Mhe. Dkt. Adelardus Lubango Kilangi kuwa Mwanasheria Mkuu wa Serikali na Mhe. Paul Joel Ngwembe kuwa Naibu Mwanasheria Mkuu wa Serikali.

Matukio yote mawili yamehudhuriwa na Makamu wa Rais Mhe. Samia Suluhu Hassan, Waziri Mkuu Mhe. Kassim Majaliwa Majaliwa, Jaji Mkuu wa Tanzania Mhe. Prof. Ibrahim Hamis Juma, Naibu Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Tulia Ackson Mwansasu, Katibu Mkuu Kiongozi Mhe. Balozi John Kijazi na viongozi wakuu wa vyombo vya ulinzi na usalama.
Chrispiny kalinga blog

Kingunge kuagwa viwanja vya Karimjee


Mwili wa mwanasiasa mkongwe Kingunge Ngombale Mwiru utaagwa katika viwanja vya Karimjee jijini Dar es Salaam baada ya

Zitto ataka CCM, Chadema kusitisha kampeni


Kiongozi wa Chama cha ACT-Wazalendo, Zitto Kabwe ameviomba vyama vya Chadema na CCM kusimamisha kampeni za uchaguzi mdogo wa