Woensdag, Februarie 28, 2018

Treni ya abiria yapinduka na kuanguka


Treni ya abiria ya Shirika la Reli Tanzania iliyokuwa ikitokea mkoani Dodoma kwenda Kigoma imepata ajali katika eneo la Kijiji cha Mpeta wilayani Uvinza.

Dinsdag, Februarie 27, 2018

LEO MBOWE AMEONGEA JAMBO LA MAANA SANA; MSIKILIZE


































Chrispiny kalinga blog

"Hukuma ya Sugu tuliijua siku nyingi na imepangwa Hotelini" -Mbowe


































Chrispiny kalinga blog

New AudiO of diamond platnumz - KOSA LANGU


































Chrispiny kalinga blog

Mpenzi mpya wa Diamond Platnumz awaumiza vichwa Zari na Hamisa, Mange at...


































Chrispiny kalinga blog

zari ametaja mpenzi mpya baada ya kumtosa damond?atampeleka diamond maha...


































Chrispiny kalinga blog

Rais Magufuli Apiga Simu Kumpongeza Diamond, Sikiliza Alichokisema


































Chrispiny kalinga blog

RAIS MAGUFULI AONGEA NA DIAMOND PLATNUMZ KWENYE CLOUDS360


































Chrispiny kalinga blog

Nandy Na Aslay Walivyonogesha Usiku Wa Mapenzi Escape One


































Chrispiny kalinga blog

FULL HIGHLIGHTS: MAJIMAJI FC 1-2 YANGA SC (ASFC - 25/02/2018)


































Chrispiny kalinga blog

TENENDE AGRICULTURE COMPANY LIMITED YAJA KIVINGINE 2018

Tokeo la picha la SEMBE

TENENDE AGRICULTURE COMPANY LIMITED.

Kampuni ya uzalishaji waUnga wa Mahindi Wilayani Njombe Mkoani Njombe inapenda kuwatangazia watanzania wote kwa jumla kuwa wao ni Wazalishaji wa Unga aina ya Sembe pamoja na Mafuta ya kupikia ainaya Alizeti sambamba na hilo ni Wasambazaji na Wauzaji wa Jumla na lejeleja pamoja na kumfikishia mteja wao popote alipo ndani ya Nchi ya Tanzania  Kwa bei poa kabisa . 

WAKANDARASI WAZEMBE KUKAMATWA IRINGA,




















Mkuu wa Mkoa wa Iringa, Amina Masenza amesema hatasita kuwakataa mameneja wa Wakala wa Barabara za Vijijini na Mijini (Tarura)  waliopo mkoani kwake endapo hawatatimiza wajibu wa kusimamia wakandarasi wakati wa kutengeneza barabara.

WATUMISHI NCHINI WATAKIWA KUWAHUDUMIA WANANCHI BILA UBAGUZI


Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amewataka watumishi wa umma wawatumikie wananchi kwa uweledi na ustadi bila ya ubaguzi wa aina yoyote.
Waziri Mkuu alitoa kauli hiyo jana (Jumatatu, Februari 26, 2018) wakati akizungumza na watumishi wa wilaya za Masasi na Nanyumbu kwa nyakati tofauti.

Waziri Mkuu ambaye yuko mkoani Mtwara kwa ziara ya kikazi aliwasisitiza watumishi wa umma kutekeleza majukumu yao ipasavyo.

Alisema Rais Dkt. John Magufuli amesisitiza watumishi wa umma wawatumikie wananchi bila ya ubaguzi wowote pamoja na kuacha kufanya kazi kwa mazoea.

“Watumishi wa umma lazima mtambue kwamba msimamo wa Serikali ni kuwahudumia wananchi bila ya ubaguzi wa kidini, kiitikadi na kipato.”

Waziri Mkuu alisema ni vyema watumishi hao kuanza kujitathmini kwa sababu Serikali haitowavumilia watumishi watakaoshindwa kuwajibika kwa wananchi.

Pia aliwataka watendaji hao kuacha urasimu na wahakikishe kila fedha iliyotengwa kwa ajili ya utekelezaji wa miradi ya maendeleo inatumika kama zilivyoelekezwa.

Waziri Mkuu aliwaagiza watendaji hao wawe na mpango wa kuwatembelea wananchi kwa ajili ya kusikiliza kero zinazowakabili na kuzipatia ufumbuzi.

 (mwisho)
IMETOLEWA NA:
OFISI YA WAZIRI MKUU,
JUMANNE, FEBRUARI 27, 2018.

Chrispiny kalinga blog