Donderdag, Maart 01, 2018

Wastara arejea Kutoka Kwenye Matibabu India

Msanii wa filamu, Wastara Juma amerejea nchini leo akitokea Mumbay nchini India alikokuwa anapatiwa matibabu ya mgongo na mguu na kuwashukuru Watanzania kwa namna walivyojitokeza kumchangia fedha za matibabu, ingawa hazikutosha na kulazimika kuuza baadhi ya mali zake.

Mahakama Kuu Yapokea Rufaa ya Sugu na Mwenzake

 Rufaa ya kupinga hukumu ya kifungo cha miezi mitano jela iliyotolewa kwa mbunge wa Mbeya Mjini, Joseph Mbilinyi ‘Sugu’ na Katibu wa Chadema Kanda ya Nyanda za Juu Kusini, Emmanuel Masonga imewasilishwa Mahakama Kuu Kanda ya Mbeya.

Urusi yajaribisha kombora jipya ....Halina Ukomo wa Masafa na Linaweza Kupenya Kizuizi Chochote cha Makombora

Rais wa Urusi Vladimir Putin amesema jeshi lake limejaribisha silaha kadhaa mpya za nyuklia ikiwemo aina ya kombora ambalo halina ukomo wa masafa na linaweza kupenya ngome ya mfumo wowote unaokabiliana na makombora.

Wastara awasili nchini, aeleza alichofanyiwa na Bongo Movie


































Chrispiny kalinga blog

TENENDE AGRICULTURE COMPANY LIMITED YAJA KIVINGINE 2018


Tokeo la picha la SEMBE

TENENDE AGRICULTURE COMPANY LIMITED.

Kampuni ya uzalishaji waUnga wa Mahindi Wilayani Njombe Mkoani Njombe inapenda kuwatangazia watanzania wote kwa jumla kuwa wao ni Wazalishaji wa Unga aina ya Sembe pamoja na Mafuta ya kupikia ainaya Alizeti sambamba na hilo ni Wasambazaji na Wauzaji wa Jumla na lejeleja pamoja na kumfikishia mteja wao popote alipo ndani ya Nchi ya Tanzania  Kwa bei poa kabisa . 

Msemaji wa kampuni hiyo amesema kuwa bei ya unga kwanzia kilo tano kilo kumi na kilo ishirini na tano  kwenye kampuni hiyo ni bei powa kabisa. 

Akizungumza na vyombo vya Habari mkoani hapo mkabara na viwanja vya sabasaba ambapo ni jirani kabisa na viwanda hivyo amesema kuwa watanzania wafunguke na kununua chakula bora  kutoka katika kampuni yake. 

Pia msemaji huyo akaongeza kwa kusema kuwa yeyote anaye hitaji bidhaa kutoka kwake awasiliane kwa simu nambari 
SIM 0763-407591.

     Usisahau kusambaza na kwa rafiki yako


Chrispiny kalinga blog


Goli ya Hassan Kess lafungwa kisomi zaidi


































Chrispiny kalinga blog

Bao la Kessy latia fola


Bao alilofunga beki wa kulia wa Yanga, Hassan Kessy limekuwa gumzo kubwa miongoni mwa mashabiki wa soka hasa wale wa mitandaoni katika magrupu mbalimbali.

Mlipuko katika Mahakama ya Kisutu sababu hii


Dar es Salaam.  Shughuli katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu zilisimama kwa muda baada ya kutokea kwa hitilafu ya umeme katika transfoma ya Shirika la Umeme Tanzania (Tanesco) iliyopo katika eneo la mahakama hiyo.

Kikosi maalum kimeundwa na Jeshi la Polisi Pwani


Jeshi la polisi mkoani Pwani limeanzisha kikosi kazi maalumu kwa ajili ya kufuatilia madereva wanao washawishi askari kupokea rushwa pindi wanapokutwa na makosa mbalimbali ya usalama barabarani.

Tanzania yazikataa meli za Korea Kaskazini

Waziri wa Mambo ya Nje, Dk. Augustine Mahiga amewafahamisha  mabalozi wa nchi tano ambazo ni wajumbe wa kudumu wa baraza la usalama la Umoja wa Mataifa kwamba meli mbili zilizoonekana zikielekea Korea ya Kaskazini zikipeperusha bendera ya Tanzania; zilishafutiwa usajili miaka miwili iliyopita.

Wimbo wa Kibamia wamponza Roma Mkatoliki, afungiwa miezi sita

Naibu Waziri wa Habari, Sanaa, Utamaduni na Michezo, Juliana Shonza amemfungia msanii Roma Mkatoliki kutojihusisha na tasnia ya muziki kwa kipindi cha miezi sita.

Shilole ahukumiwa kulipa faini Milioni 14

Mahakama ya Mwanzo ya Wilaya ya Kinondoni, Jijini Dar es Salaam imemhukumu msanii wa muziki wa Bongo Fleva na mjasiriamali, Zuwena Mohamed maarufu Shilole kulipa faini ya kiasi cha shilingi milioni 14, baada ya kupatikana na hatia ya kutapeli na kusababisha hasara kwa kushindwa kufika kwenye tamasha.

Sh1.9bilioni zatolewa kubotesha vituo vya afya

Serikali  imepeleka Sh1.92bilioni  katika Halmashauri ya mji wa Nanyamba wilayani Mtwara kwa ajili ya ujenzi na uboreshaji wa vituo vya afya.