Dinsdag, Maart 20, 2018

Amri Ya Mahakama Iliyotolewa Leo Kuhusu Nabiii Tito

Hakimu Mkazi Mfawidhi wa Mahakama ya Wilaya ya Dodoma, James Karayemaha ameagiza Tito Machibya (Nabii Tito) kufikishwa mahakamani ili kuendelea na kesi yake au apate maelezo kamili ya kwanini mtuhumiwa huyo hafikishwi mahakamani.

Lowassa Aikubula Hoja ya Mkapa Kuhusu Elimu.....Asema Ilikuwa ni Sera Yake na Ipo Katika Ilani ya CHADEMA

Waziri Mkuu wa zamani, Edward Lowassa amemueleza Rais mstaafu wa Awamu ya Tatu, Benjamin Mkapa kwamba kauli yake aliyoitoa juzi akitaka kuwepo kwa mjadala wa kitaifa kujadili hali ya elimu nchini ilikuwa ajenda yake tangu alipokuwa CCM.

Mwenyekiti wa Mtandao wa Wanafunzi (TSNP) Kumpandisha Mahakamani IGP Sirro, DCI na AG

Mahakama Kuu nchini  imetoa wito wa kuwaita DCI, IGP na AG kufika mahakamani siku ya Jumatano ya tarehe 21 kujibu kesi ya kutomfikisha mahakamani Mwenyekiti wa Mtandao wa Wanafunzi  (TSNP) Abdul Nondo.

Wafungwa Kupewa Mafunzo Ya Ujasiriamali Huko Gerezani Ili Kuwasaidia Kubaini Fursa Mbalimbali za Kiuchumi

Na Lucas Mboje, Jeshi la Magereza;

Jeshi la Magereza limetiliana saini makubaliano na Asasi ya TECHNOSERVE katika kuendesha  mafunzo ya ujasiriamali kwa wafungwa vijana wenye umri wa kati ya miaka 18 hadi 30 waliopo magerezani katika Mikoa ya nyanda za juu Kusini ikiwemo Mbeya, Songwe, Iringa, Njombe, Ruvuma, Katavi na Rukwa.

Saterdag, Maart 17, 2018

Habari Zilizopo Katika Magazeti ya Leo Jumamosi ya Marcg 17

Uingereza Yaitaka Tanzania iiunge Mkono Mgogoro Wake na Urusi

Serikali ya Uingereza imeitaka Tanzania na Jumuiya ya Kimataifa kuiunga mkono katika kupinga kitendo cha Urusi kutumia sumu aina ya novichok katika jaribio la kumuua jasusi wa Kirusi, Sergei Skripal na binti yake, Yulia.

Ununuzi Wa Vichwa Vya Treni 11 Vilivyopo Katika Bandari Ya Dar Es Salaam

Mnamo mwezi Julai 2017, Kampuni ya Progress rail Locomotives (PRL) ya Marekani ilileta vichwa vya treni 11 katika Bandari ya Dar es salaa  kwa ajili ya kuviuza vyenye namba 9014, 9015, 9016, 9017, 9018, 9019, 9020, 9021, 9022, 9023 na 9024.

Wanawake Watatu Watiwa Mbaroni kwa Kutumia Jina la Rais Mstaafu Kikwete Kutapeli

Wanawake watatu waliofahamika kwa majina ya Mathe Uredi (41), Khadja Khamis (42) na Mwenge Uredi (33) wanashikiliwa na jeshi la polisi kwa tuhuma za kutumia jina la Rais mstaafu Jakaye Kikwete na familia yake kujipatia fedha kwa utapeli.

Jakaya Kikwete Alipongeza Jeshi la Polisi


Rais Mstaafu wa awamu ya nne Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete amefunguka na kulipongeza jeshi la polisi Tanzania kwa kuweza

Rais Magufuli Na Maendeleo Ya Viwango Vya Olimpiki


Na Judith Mhina

Uzinduzi wa tawi la CRDB Chato uliofanywa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Joseph Magufuli unadhihirisha Tanzania ya maendeleo ni lazima.

Wema, Diamond Mahaba Motomoto Instagram

Staa wa Bongo Fleva, Diamond Platinumz ameshindwa kujizuia baada ya mpenzi wake wa zamani na Malkia wa Bongo Movies,

Kikosi cha Yanga dhidi ya Township Rollers


Kikosi cha Yanga kitakachoanza dhidi ya Township Rollers leo

1. Youthe Rostand
2. Juma Abdul

Irene Uwoya: Nimemzidi Dogo Janja Kila Kitu Labda Yeye Kanizidi Dhambi tu

Msanii wa bongo movie  Irene Uwoya amefunguka na kusema kuwa wala hajali watu wanaosema kuwa amemzdi mwanaume aliyemuoa miaka mingapi kwa sababu yeye anachojali zaidi ni mapenzi na wala sio kitu kingine.