Sondag, Januarie 28, 2018
Baada ya Rais Magufuli, Rais Shein atoa msimamo wake kuhusu muda wa kukaa madarakani
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dkt. Ali Mohammed Shein amesema hayupo tayari kuongeza muda wa uongozi kutoka miaka mitano hadi saba kwani kufanya hivyo ni kukiuka katiba ya Zanzibar.
Lukuvi awwsha moto mpya.....
Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi William Lukuvi, ametangaza kiama kwa wamiliki ardhi ambao hawajalipa kodi ya pango la ardhi na kutoa muda hadi April 30 mwaka huu kuhakikisha wanalipa kodi hiyo.
Madiwani watatu wa CHADEMA wakitimkimbilia CCM.
SIASA
Madiwani watatu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) wilaya ya Rombo wamekihama chama hicho na kujiunga na Chama Cha Mapinduzi (CCM).
Saterdag, Januarie 27, 2018
Dinsdag, Januarie 23, 2018
Maandag, Januarie 22, 2018
HAPA KAZI TU YATIMIA KWA WAZIRI MKUU
Waziri Mkuu Azidi Kuwabana Wakala wa Majengo Tanzania (TBA)
WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amemuagiza Mkurugenzi Mkuu wa Wakala wa Majengo Tanzania (TBA) Mhandisi Elius Mwakalinga akafanye tathmini ya ubora ya jengo la kituo cha pamoja cha forodha cha Sirari kilichopo kwenye mpaka wa Tanzania na Kenya.
Ametoa agizo hilo jana (Jumapili, Januari 21, 2018) katika kikao cha majumuisho ya ziara yake ya kikazi mkoani Mara, ambapo alimuagiza Mkurugenzi huyo afanye tathmini na kuishauri Serikali kama jengo linafaa kutumika.
Januari 17, 2018 Waziri Mkuu
Saterdag, Januarie 20, 2018
LUDEWA-MLANGALI
Na chrispiny kalinga
date... 20 january 2018
WANGANGA WA TIBA ASILI WILAYANI LUDEWA MKOANI NJOMBE KIJIJI CHA MAWENGI NA IYUNGUYA WAITAKA SERIKALI KUINGILIA KATRI MADAI YAO YA FEDHA ILIYO TOLEWA MWAKA 2017.
Waganga wilayani ludewa mkoani njombe wanaulalamikia uongozi wa chama ambacho kilikuwa kinawaongoza kinacho kwenda kwa jina la C.W.W.I kwa madai ya kuchukuliwa fedha zao kwa muda wa mwaka mmoja na bila kuona chochote kinacho endelea.

Dinsdag, Januarie 16, 2018
Teken in op:
Plasings (Atom)