LUDEWA-MLANGALI
Na chrispiny kalinga
date... 20 january 2018
WANGANGA WA TIBA ASILI WILAYANI LUDEWA MKOANI NJOMBE KIJIJI CHA MAWENGI NA IYUNGUYA WAITAKA SERIKALI KUINGILIA KATRI MADAI YAO YA FEDHA ILIYO TOLEWA MWAKA 2017.
Waganga wilayani ludewa mkoani njombe wanaulalamikia uongozi wa chama ambacho kilikuwa kinawaongoza kinacho kwenda kwa jina la C.W.W.I kwa madai ya kuchukuliwa fedha zao kwa muda wa mwaka mmoja na bila kuona chochote kinacho endelea.
hali kadhalika waganga hao sambamba na waganga wa kata ya mawengi wamezidi kuongea kwa kusema kuwa tangu wajiunge kwenye chama hicho hawajaona manufaa ya chama hicho na wanazidi kutozwa fedha zisizo kuwa na faida kwao na wameongeza kusema kuwa hivi kalibuni wasimamizi wa chama hicho wamewapelekea barua ya kuwataka kukutana nao na wameagizwa wabebe michango mingine
hata hivyo aliye kuwa mwenyekiti wa waganga wa kata ya mawengi anaye tambulika kwa majina ya miti ni mali amezidi kuongea chombo chetu cha habari leo 20.01.2018 kwa kusema kuwa ujio wa chama kipya kinacho kwenda kwa jina la TAMETO umekuja kwa utofauti mkubwa ukilinganishwa chama kilicho kuwepo awamu ya kwanza
Aidha amesema kuwa chama cha TAMETO amedhibitisha kuwa ni chama halali na kilicho sajiliwa na serikali na ameongeza kusema kuwa pindi walipo kuwepo kwenye chama ambacho wameemua kuhama wao wenyewe bila kulazimishwa kwa kuamini kuwa uwezekeno mkubwa wa kupata reseni kwa muda mwafaka
Makamu mwenyekiti wa chama cha TAMETO mkoa wa njombe ndg RICHARD MUHAMED MLOGE amezidikuwahamasisha waganga kwa kuwaeleza ukeli kuwa chama cha CWWI anaamini ni chama ambacho kipo kisheria na kinafanya kazi vizuri ila yeye kazi yake kubwa ni kuleta chama hiki kipya na kukinadi kipate wanachama wakutosha na wenye uakika wa kuhudumiwa mahitaji yao stahiki
sambamba na hilo katibu mwenezi mkoa wa njombe SAID MLWALE akiwa chini ya dhamana ya chama cha TAMETO anawahakikishia wanachama wote walio jiunga kuwa atahakikisha hawacheleweshewi huduma zinazo takiwa na akaongeza kuwa reseni za kuwaruhusu kufanya kazi zinatoka baada ya mwezi mmoja.
chrispiny kalinga

Geen opmerkings nie:
Plaas 'n opmerking