Hivi
falsafa juu ya matumizi ya bajeti ambayo ipo ndani ya uwezo wako
ikoje? Hili ni swali la muhimu sana ambalo kila mmoja wetu anatakiwa
kujiuliza kataka maisha yake ya kila siku.
Nasema hivi kwa sababu moja kati ya tabia ya watu wengi huwa wanaishi nje ya bajeti ambayo wanakuwa wamepanga.
STAA wa Bongo Fleva mwenye sauti ya kipekee, Elias Barnaba amesema kuwa
kitendo cha kuwatungia mastaa ngoma zao hasa wa kike kimemfanya
kutengeneza mkwanja mrefu.
STAA wa filamu za Kibongo, Shamsa Ford anadaiwa kupigwa stop kutumia
mitandao ya kijamii na mumewe, Chid Mapenzi na kwa muda sasa haonekani
hasa kwenye mtandao wa kijamii wa Instagram ambako aliwaaga kabisa
mashabiki zake.
BAADA ya kukaa kimya kwa muda mrefu, hitmaker wa Ngoma ya Sema, Hamadi
Ally ‘Madee’ hatimaye amefungukia kile kinachodaiwa kuwa ni bifu zito
lililopo kati yake na msanii mwenzake, Ibrahim Musa ‘Roma Mkatoliki’.
Akipiga stori na Risasi Vibes, Madee alisema suala la uwepo wa bifu kati
yake na Roma ni hisia tu zinazo-zushwa na mashabiki kutokana na vijembe
wanavyo-tupiana na msanii huyo ambaye kimsingi ni mtani wake.
“Roma ni mtani wangu, mara nyingi huwa kuna masihara kati yangu na yeye,
hata familia yake kwa ujumla, vile vijembe ambavyo huwa tunatupiana ule
huwa ni utani tu hakuna uhalisia wowote, hatuna bifu kati yetu,”
alisema Madee
NAIBU Waziri wa Nishati, Subira Mgalu amelitaka Shirika la Umeme
(Tanesco) mkoa wa Kilimanjaro kuweka mkandarasi wa kusimamia miradi ya
umeme vijijini kila wilaya, ili ikamilike kwa wakati ifikapo Aprili,
mwakani.
UAMUZI wa Rais John Magufuli kupiga marufuku michango ya elimu katika
shule za msingi na sekondari, umezua mjadala katika kikao cha Baraza la
Madiwani wa Halmashauri ya Kahama mkoani Shinyanga.
Kiongozi wa upinzani nchini Kenya Raila Odinga Jumanne aliapishwa kuwa
'rais wa wananchi' nchini humo baada ya kusema hatambui ushindi wa Rais
Uhuru Kenyatta katika uchaguzi wa marudio uliofanyika nchini humo Oktoba
mwaka jana.
Mgombea mwenza wake Kalonzo Musyoka wa chama cha Wiper hakujitokeza kwa
sherehe hiyo ya kuapishwa, ingawa alikuwa miongoni mwa waliotarajiwa
kuapishwa.
Waziri mkuu huyo wa zamani hayuko peke yake katika kujaribu kujitangaza marais, kukiwa bado kuna rais mwingine madarakani.
Wengine ni akina nani?
Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo Etienne Tshisekedi, Nigeria Moshod
Abiola, Uganda Kiza Besigye na Jean Ping wa Gabon ni miongoni mwa
viongozi wa upinzani wa Afrika ambao wamejaribu kujitangaza kuwa marais,
na sasa Raila Odinga amejiunga na orodha hii.
Makamu wa Rais wa zamani wa Kenya ambaye sasa ni kiongozi mwenza wa
NASA, Stephen Kalonzo Musyoka nyumba yake imepigwa bomu usiku wa kuamkia
leo katika eneo la Karen, Nairobi Kenya na watu wasiojulikana.
Washtakiwa 24 kati ya 61 wanaokabiliwa na kesi za ugaidi jijini hapa
wamehukumiwa kifungo cha miezi sita jela kwa kosa la kuvua nguo, kisha
kugoma kuingia ndani ya chumba cha mahakama kusikiliza kesi zao.