Woensdag, Januarie 31, 2018
Shamsa apigwa stop kutumia Mitandao ya kijamii na mumewe
Madee azungumzia bifu lake na Roma
BAADA ya kukaa kimya kwa muda mrefu, hitmaker wa Ngoma ya Sema, Hamadi Ally ‘Madee’ hatimaye amefungukia kile kinachodaiwa kuwa ni bifu zito lililopo kati yake na msanii mwenzake, Ibrahim Musa ‘Roma Mkatoliki’.
Akipiga stori na Risasi Vibes, Madee alisema suala la uwepo wa bifu kati yake na Roma ni hisia tu zinazo-zushwa na mashabiki kutokana na vijembe wanavyo-tupiana na msanii huyo ambaye kimsingi ni mtani wake.
“Roma ni mtani wangu, mara nyingi huwa kuna masihara kati yangu na yeye, hata familia yake kwa ujumla, vile vijembe ambavyo huwa tunatupiana ule huwa ni utani tu hakuna uhalisia wowote, hatuna bifu kati yetu,” alisema Madee
chrispiny kalinga
Tanesco yapewa agizo
Jafo atoa agizo madarasa ya nyasi, udongo
Marufuku michango ya Elimu yazua mjadala kwa Viongozi
Kijiji chavamiwa na kundi kubwa la Fisi
Viongozi wengine waliowahi kuapishwa na kujitangaza kuwa marais kama Odinga barani Afrika
Kiongozi wa upinzani nchini Kenya Raila Odinga Jumanne aliapishwa kuwa
'rais wa wananchi' nchini humo baada ya kusema hatambui ushindi wa Rais
Uhuru Kenyatta katika uchaguzi wa marudio uliofanyika nchini humo Oktoba
mwaka jana.
Mgombea mwenza wake Kalonzo Musyoka wa chama cha Wiper hakujitokeza kwa sherehe hiyo ya kuapishwa, ingawa alikuwa miongoni mwa waliotarajiwa kuapishwa.
Waziri mkuu huyo wa zamani hayuko peke yake katika kujaribu kujitangaza marais, kukiwa bado kuna rais mwingine madarakani.
Wengine ni akina nani?
Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo Etienne Tshisekedi, Nigeria Moshod Abiola, Uganda Kiza Besigye na Jean Ping wa Gabon ni miongoni mwa viongozi wa upinzani wa Afrika ambao wamejaribu kujitangaza kuwa marais, na sasa Raila Odinga amejiunga na orodha hii.
Etienne Tshisekedi

Nyumba ya kiongozi wa upinzani yapigwa bomu
Waliovua nguo kortini jela miezi 6
Watanzania Mil 25 wadaiwa kukosa msaada wa sheria
Wanawake wawili kuuawa kwa kukatwa mapanga kutokana na imani za kishirikina.
Teken in op:
Plasings (Atom)