Waimbaji wa Ngoma ya Mganda kutoka kijiji cha Nkwimbili kata ya Lupingu wakiendelea Kutumbuiza katika Sherehe za Miaka 41 ya Kuzaliwa kwa CCM,
Sondag, Februarie 04, 2018
MHHH CCM LUDEWA NI MOTO WA KUOTE MBALI....
Waimbaji wa Ngoma ya Mganda kutoka kijiji cha Nkwimbili kata ya Lupingu wakiendelea Kutumbuiza katika Sherehe za Miaka 41 ya Kuzaliwa kwa CCM,
LICENSING OFFICER II - 1 POST
Employer: Warehouse Receipt Regulatory Board WRRB
Nafasi za Kazi: Katibu Mahsusi II, Mwendesha Mitambo II, Msaidizi wa Kumbukumbu II
Mkurugenzi wa Jiji la Dar es Salaam anawatangazia wananchi wote wenye sifa za kuajiriwa kuleta maombi yao ya kazi kwa nafasi zifuatazo: 10.
panya aliye kutwa akifanya yake morogoro mjini
Wakulima wa Kata ya Kiberege Wilayani Kilombero mkoani Morogoro, wame
Lulu Diva apokonywa kila kitu na Mpenziwe?
IMEVUJA! Ukiachana na habari ya kudaiwa kupangishiwa nyumba na kununuliwa gari mpya aina ya Jeep na kigogo, imebainika kuwa msanii huyo amepokonywa kila kitu
ndege iliyo anguka Z'bar yapatiwa jawabu
Hitilafu ya mfumo wa umeme imetajwa kuwa chanzo kikuu cha ajali ya ndege ambayo ilisababisha vifo vya watu wawili juzi visiwani Zanzibar.
Ajali hiyo ilitokea katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume majira ya saa 7:00 mchana, wakati ndege hiyo ikijaribu kuruka.
Mama Mobeto amfungukia Diamond
UFUATIA skendo nzito inayofukuta ya staa wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’ kudaiwa kutoka kimapenzi na warembo, Wema Isaac Sepetu na Tunda Sebastian,
Mimi Mars afunguka sifa za mwanaume kuwa nae
Msanii ambaye kwa sasa anatamba na kibao chake kipya 'Sitamani' chini ya Mdee Music, Mimi Mars amefunguka na kudai endapo atahitaji kuingia katika mahusiano kwa mara nyingine tena basi anataka kuwa na mwanaume mwenye kujielewa na kujitambua.
Wabunge wamtaka Waziri Mpango kubadili sera za Taifa
picha ya mtandao
Hali ya uchumi nchini imewaibua wabunge wakitaka Waziri wa Fedha na Mipango, Dk Philip Mpango kubadili sera za Taifa ili kuchochea ukuaji wake.
Wakichangia taarifa ya
Mbunge wa Chadema atishiwa maisha
Mbunge wa (CHADEMA) Tarime Vijijini, John Heche amefunguka na kusema ameanza kupata vitisho mbalimbali kutoka kwa watu wasiojulikana wakimtishia maisha yake baada ya kusema ukweli kuhusu kupanda kwa gharama za vitambulisho vya Taifa.
Akiongea na www.eatv.tv Heche amedai kuwa ameanza kupata vitisho hivyo na kudai kuwa haviwezi kumrudisha nyuma katika kuisimamia Serikali na kuibana Serikali na kusema hawezi kubadili msimamo wake hata siku moja.
"Mtakumbuka kuwa majuzi jioni nilizungumza bungeni kuhusu kudanganywa umma juu ya mradi wa e-passports na kupanda kwa gharama za vitambulisho vya Taifa. Maelezo yangu bungeni yalitokana na Taarifa kutoka Kamati ya PAC na yalijibiwa na Waziri wa Mambo ya Ndani ya nchi. Sasa ndugu zangu nimeanza kupata vitisho dhidi ya ‘credibility’ yangu na maisha yangu. Ndugu zangu Taifa letu linapitia wakati ngumu Sana" alisema Heche
Heche aliendelea kusema kuwa
"Genge la wahalifu wa ki Uchumi na kisiasa kamwe lisitarajie nitatishika ama kubadili msimamo. Vitisho vilivyoanza dhidi yangu baada ya kuibua Ufisadi Katika Vitambulisho vya Taifa na E -Pasport havitaniogopesha kamwe. Njia zao ovu ama kunitisha ama kutaka kuchafua heshima yangu ama kunitengenezea kesi ama kuninifanyia alichofanyiwa Mhe. Tundu Lisu hazitanirudisha nyuma" alisisitiza Heche
Mbali na hilo Heche ameweka wazi kuwa kwa sasa anaandaa nyaraka muhimu ili azipeleke Bungeni kuundwa kwa Kamati Teule ya Bunge kuchunguza ubadhirifu uliofanyika katika Vitambulisho vya Taifa pamoja na E- Passports.
Source:to muungwana blog
Chrispiny kalinga blog
Ratiba ya Mazishi ya Mzee Kingunge kesho
Mzee Kingunge Ngombale Mwiru enzi za uhai wake.
Ratiba ya mazishi ya Baba yetu mpendwa Mzee Kingunge Ngombale Mwiru(Baba Kinje)
Jumapili tarehe 4/2/2018
– Saa 10:00 jioni mwili kutoka Hospitali kuelekea nyumbani Victoria/Makumbusho Kingunge street.
-Saa 11:00 jioni mwili kuwasili nyumbani na taratibu za ibada mila na desturi kuendelea usiku mzima(mkesha)
Ratiba ya mazishi ya Baba yetu mpendwa Mzee Kingunge Ngombale Mwiru(Baba Kinje)
Jumapili tarehe 4/2/2018
– Saa 10:00 jioni mwili kutoka Hospitali kuelekea nyumbani Victoria/Makumbusho Kingunge street.
-Saa 11:00 jioni mwili kuwasili nyumbani na taratibu za ibada mila na desturi kuendelea usiku mzima(mkesha)
Mwanamke ajifanya muuguzi na kuiba mtoto wa siku moja Mbeya
Picha ya mtandao
Polisi mkoani hapo wanamsaka mwanamke ambaye aliyejifanya muuguzi na
kuiba mtoto wa kike wa siku moja kwenye wodi ya wazazi katika Hospitali
ya Mkoa wa Mbeya.
Mtoto huyo alizaliwa kwa njia ya upasuaji na
Katambi Ataja Sababu Kuyumba Kwa Upinzani
KADA mpya wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Patrobas Katambi ameeleza sababu zinazochangia kudhoofika kwa vyama vya upinzani nchini.
Amesema
kuyumba kwa vyama hivyo kunachangiwa na
Teken in op:
Plasings (Atom)