Polisi nchini Maldives imemkamata Jaji Mkuu wa Mahakama ya Juu nchini humo huku mgogoro wa kisiasa ukiendelea kuwa katika hali mbaya kwenye nchi hiyo iliyoko katika bahari ta Hindi.
Mbunge wa Muleba Kusini (CCM), Prof. Anna Tibaijuka amefunguka na kusema kuwa CCM hakihusiki kivyovyote vile na kutekwa kwa mgombea wa Udiwani wa CHADEMA Kata ya
Mkuu wa Mkoa wa Njombe Mh.Christopher Ole Sendeka amemvua cheo cha ukuu wa shule na kumtaka ahamishwe katika shule hiyo mara moja mwalimu mkuu wa shule ya sekondari Manda Oraph Mwinuka wilayani Ludewa kutokana na mwalimu huyo kushindwa kusimamia vyema ujenzi wa madarasa, Daharia pamoja na kushuka kwa ufaulu katika shule hiyo.
Zari ni mwanamke ambaye anapenda kujiheshimu na kujijari kwa namna moja au nyingine ndio maana leo nikaona vyema kukuletea mbele yako umtizame jinsi alivyo na unyenyekevu . zari is a woman who likes to behave and kujijari in one way or another that is why today I saw better bring your presence umtizame how he and simplicity.
Rais Dkt MagufuliJP akiweka udongo katika kaburi la Mwanasiasa mkongwe, Marehemu Mzee Kingunge Ngombale Mwiru leo, katika Makaburi ya Kinondoni, jijini Dar es Salaam Makamu wa Rais Samia Suluhu Hassan akitoa heshima ya mwisho mbele ya jeneza lililobeba mwili wa mwanasiasa mkongwe Kingunge Ngombale Mwiru. DAR: Mazishi ya Mzee Kingunge Ngombale Mwiru yamefanyika ktk Makaburi ya Kinondoni ambapo Rais Magufuli ameongoza jopo la waombolezaji
> Mzee Kingunge alifariki ktk hospitali ya Taifa Muhimbili alipokuwa akipata matibabu baada ya kung’atwa na mbwa
Chrispiny kalinga blog