Ndege mbili; moja aina ya Bombardier na nyingine kubwa Boeing 787 yenye uwezo wa kubeba abiria 262 zilizonunuliwa na serikali, zinatarajiwa kuwasili nchini Julai mwaka huu.
MAHAKAMA ya Wilaya ya Dodoma imeagiza mkazi wa mtaa wa Ng’ong’ona Manispaa ya Dodoma Tito Machibya, maarufu kama ‘Nabii Tito’ (45) kupimwa akili upya katika Taasisi ya Afya ya Akili ya Mirembe Isanga mkoani Dodoma ili kujiridhisha kama ana matatizo ya akili.
Polisi nchini Maldives imemkamata Jaji Mkuu wa Mahakama ya Juu nchini humo huku mgogoro wa kisiasa ukiendelea kuwa katika hali mbaya kwenye nchi hiyo iliyoko katika bahari ta Hindi.
Mbunge wa Muleba Kusini (CCM), Prof. Anna Tibaijuka amefunguka na kusema kuwa CCM hakihusiki kivyovyote vile na kutekwa kwa mgombea wa Udiwani wa CHADEMA Kata ya
Mkuu wa Mkoa wa Njombe Mh.Christopher Ole Sendeka amemvua cheo cha ukuu wa shule na kumtaka ahamishwe katika shule hiyo mara moja mwalimu mkuu wa shule ya sekondari Manda Oraph Mwinuka wilayani Ludewa kutokana na mwalimu huyo kushindwa kusimamia vyema ujenzi wa madarasa, Daharia pamoja na kushuka kwa ufaulu katika shule hiyo.
Zari ni mwanamke ambaye anapenda kujiheshimu na kujijari kwa namna moja au nyingine ndio maana leo nikaona vyema kukuletea mbele yako umtizame jinsi alivyo na unyenyekevu . zari is a woman who likes to behave and kujijari in one way or another that is why today I saw better bring your presence umtizame how he and simplicity.