Saterdag, Maart 10, 2018

MAGUFULI AMPA ONYO KALI MANGE KIMAMBI, NI KUHUSU MAANDAMANO

































mubashara blog

+255753121916

Makonda Amgeuzia Kibao Mwanafunzi anayedai alitekwa

































mubashara blog

+255753121916

MAANDAMANO YA KUMTOA MAGUFULI MADARAKANI NI UHAINI

































mubashara blog

+255753121916

Mwenyekiti wa UVCCM mkoa wa Pwani awataka vijana kumuunga mkono Rais Magufuli

WANACHAMA wa Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UVCCM) wa Wilaya ya Bagamoyo wametakiwa kutembea kifua mbele huku wakijiamini na kuwaelezea vijana wenzao miradi mbalimbali mikubwa inayofanyika hapa nchini chini ya uongozi wa Mwenyekiti wa CCM Taifa na Rais,Dk.John Magufuli katika kutimiza malengo ya Tanzania ya Viwanda kwa kujenga barabara za juu (Fly Over),uboreshaji wa miundombinu,mradi wa umeme vijijini (REA),elimu bure shule za msingi na sekondari,ujenzi wa mradi mkubwa wa reli ya kisasa ya Standard Gauge,ununuzi wa ndege za Bombadier pamoja na kutumbua watumishi vyeti feki.

Hayo yamesemwa na Mwenyekiti wa Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi Mkoa wa Pwani (UVCCM),Charangwa Makwiro wakati akizungumza na vijana wa UVCCM wilayani Bagamoyo jana kwenye muendelezo wa ziara yake ya kutembelea wilaya zote za mkoa wa Pwani ambapo amewashukuru na kuwakumbusha vijana hao kuishi katika ndoto ya Rais Dk.John Magufuli na malengo ya kuifanya nchi kuwa Tanzania ya Viwanda katika hotuba waliyozungumza katika mkutano mkuu wa vijana hao uliofanyika mjini Dodoma hivi karibuni ambapo katika mkutano huo ulimwezesha Kheri James kuwa mwenyekiti wa UVCCM Taifa.

“Nimekuja katika Wilaya hii ya Bagamoyo kwa ajili ya kutoa shukrani zangu kwa ninyi vijana wenzangu kwa kuniamini na kunipigia kura za ndiyo zilizoniwezesha kushinda nafasi hii ya uenyekiti wa UVCCM Mkoa wa Pwani hivyo basi nitatumia akili zangu,nguvu,uwezo,rasilimali na elimu niliyonayo katika kuhakikisha natatua changamoto za vijana wa mkoa wetu wa Pwani leo kichama naonekana nawawakilisha vijana wa Chama Cha Mapinduzi peke yake lakini ukweli ni kwamba nitakachokipigania mimi kitawaletea faida vijana wote wa mkoa huu hivyo kwa yale nitakayokuwa nayapambania kwa vijana nanyi muwe bega kwa bega mniunge mkono katika kufanikisha changamoto za vijana” Alisema Mwenyekiti Makwiro..

mubashara blog +255753121916

Dogo Janja akoshwa na mwanamke huyu

KATIKA kuisindikiza Siku ya Wanawake Duniani, iliyofanyika juzi (Alhamisi), mkali wa michano Bongo, Abdulaziz Chende ‘Dogo Janja’, amefunguka kwamba, kwa upande wake mwanamke ambaye amemkosha kwa mwaka huu ni mjasiriamali, Carol Ndosi.

IGP, SIRO ATOA ONYO KWA WAANDAMANAJI NCHINI

Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini (IGP), Simon Sirro ametoa onyo akisema wamejiweka tayari kukabiliana na watu, wakiwemo wanasiasa wanaohamasishana kuandamana nchi nzima kinyume cha sheria.

DR. SUSAN KOLIMBA AKABIDHI VITABU KWA SHULE ZA LUDEWA

Katika Ziara yake leo wilayani Ludewa Dr.

MWENYEKITI WA CHADEMA AKIMBILIA CCM

Mwenyekiti Wa UV, CCM Mkoa wa Njombe Bw, Neemia Tweve Akimkabidhi Kadi Bw, Benai Mgaya aliyejiunga na CCM Leo Ludewa Mjini. 

Mnara wa simu wajeruhi askari

JENGO la ofisi ya serikali ya mtaa katika eneo la Goba jijini Dar es Salaam ambalo hutumiwa na polisi, limeangukiwa na mnara wa simu kutokana na mvua iliyonyesha juzi usiku na kumjeruhi askari.

Makonda aagiza mwanafunzi aliyepotea ashughulikiwe

Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam, Paul Makonda amelitaka jeshi la polisi kuendelea kufanya kazi bila kutetereshwa na mtu yeyote na amemuagiza Kamanda Mambosasa na timu yake kuwashughulikia watu wanaotumia lugha za kashfa dhidi ya viongozi wa nchi ambao ni nembo ya taifa.

Habari Zilizopo Katika Magazeti ya Leo Jumamosii ya March 10

Vrydag, Maart 09, 2018

Trump akubali mualiko wa kukutana na Kim Jong Un

Rais Donald Trump wa Marekani amekubali ombi la Kiongozi wa Korea kaskazini Kim Jong Un la kutaka wakutane mapema ndani ya mwezi mei mwaka huu,na hivyo kuweka historia kufuatia  kutokuwepo rais wa Marekani ambaye amewahi kuonana na kiongozi mkuu wa Korea kaskazini.

Rais Magufuli Atoa Onyo Kuhusu Wanaopanga Kuandamana

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dr. John Pombe Magufuli amefunguka na kuzungumzia suala la maandamano na kusema atashughulika na watu ambao wataandamana ili wakawasilimulie wale watu ambao wamewatuma.