Saterdag, Maart 24, 2018

Waziri afika eneo ilipotokea ajali ya moto wa rol


Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi Dkt Mwigulu Nchemba tayari alifika eneo la tukio ambapo ilitokea ajali ya

Mwalimu Akamatwa na Polisi kwa kumkashfu Rais Magufuli

Mwalimu wa shule ya sekondari ya Nyakisasa iliyopo

Tamko La Waziri Wa Afya Ummy Mwalimu Kuelekea Maadhimisho Ya Siku Ya Kifua Kikuu Duniani Machi 24 – Leo Mjini Dodoma

Na WAMJW-Dodoma.

# Kifua Kikuu(TB) ni ugonjwa wa kuambukiza unaoongoza kwa kusababisha vifo vingi Duniani.

Habari Zilizopo Katika Magazeti ya Leo Jumamosi ya March 24

Diamond afanya mazungumzo ya siri na Basata

Msanii wa muziki, Diamond Platnumz Ijumaa hii amefanya mazungumzo ya siri na Baraza la Sanaa Taifa ‘Basata’ ikiwa ni siku chache toka aingie kwenye majibizano na Naibu Waziri wa Habari, Juliana Shonza.

Dinsdag, Maart 20, 2018

PADECO, WAFUNGUA MAISHA YA WANANCHI WA LUDEWA,NA MKOA WA NJOMBE

Katikati ni Mkurugenzi wa PADECO Bw,Wilbard Mwinuka Akiwa na Wafadhiri kutoka nchini Hispania

MWALIMU AWAPELEKA WANAFUNZI KULIMA SHAMBA LAKE LUDEWA,



Na Maiko Luoga Ludewa

Wananchi Wa Kijiji cha Mdilidili katika Kata ya Lugarawa Wilaya ya Ludewa Mkoa Wa Njombe wamelalamikia Tukio la Mwalimu Wa Kujitolea Katika Shule ya msingi Matika iliyopo katika Kijiji cha Mdilidili Kuwachukua watoto Siku ya Jumamosi March 17 Mwaka huu na kuwapeleka Shambani kwake Kulima.
Kushoto ni Naibu katibu mkuu wa UWT CCM Bara akizungumza jambo na DC,Ludewa Mh,Andrea Tsere Kulia
Na Maiko Luoga Ludewa

Naibu katibu mkuu wa Jumuiya ya wanawake wa Chama cha Mapinduzi CCM, UWT Tanzania Bara Bi, Evah Kihwele Amefanya Ziara ya Siku Mbili Tangu juzi March 18 mwaka huu wilayani ludewa katika Mkoa wa Njombe na Kuzungumza na Wanawake ambao ni Wanachama  wa UWT Wilaya ya Ludewa.

NAIBU KATIBU MKUU CCM BARA AFANYA ZIARA WILAYANI LUDEWA,

Kushoto ni Naibu katibu mkuu wa UWT CCM Bara akizungumza jambo na DC,Ludewa Mh,Andrea Tsere Kulia
Kushoto ni Katibu wa Hamasa na Chipukizi UV,CCM Mkoa wa Njombe,Bw Johnson Mgimba akiteta jambo na DC, Ludewa Mh, Andrea Tsere Aliyevaa suti Kulia,
Naibu Katibu Mkuu UWT CCM Bara akikagua Kuku katika Banda la kikundi cha Tumaini Jema
Wanakikundi Cha Tumaini Jema wakimkabidhi Zawadi Naibu katibu mkuu wa UWT Taifa Bi,Evah Kihwele
Naibu katibu Mkuu bara UWT CCM Taifa Bi,Eva Kihwele Akipokea taarifa kwa wanakikundi cha Lukolo Ludewa mjini,
Katibu wa Organization CCM Taifa UWT Bi,Riziki Kingwande, Akizungumza na wanawake wa Ludewa Mjini 
Naibu Katibu mkuu UWT, CCM Taifa akizungumza na wanawake katika Ukumbi wa ccm Ludewa mjini Leo,
Burudani za ngoma mbalimbali zikiendelea nje ya Ukumbi wa CCM Ludewa mjini katika Mkoa wa Njombe,


mubashara blog +255753121916

MOTO ULIOUWA MAJENGO YA BWENI





Na Maiko Luoga Ludewa.

Bweni la Wanafunzi Wavulana wa Kidato Cha Tano na Cha Sita katika Shule ya Sekondari Chief Kidulile iliyopo katika Kata ya Ludewa Mjini wilaya ya Ludewa Mkoa wa Njombe Limeteketea Kwa Moto Usiku wa Leo.

BWENI LAUNGUA MOTO LUDEWA






mubashara blog +255753121916

MAGAZETI YA LEO 20/3/2018



Amri Ya Mahakama Iliyotolewa Leo Kuhusu Nabiii Tito

Hakimu Mkazi Mfawidhi wa Mahakama ya Wilaya ya Dodoma, James Karayemaha ameagiza Tito Machibya (Nabii Tito) kufikishwa mahakamani ili kuendelea na kesi yake au apate maelezo kamili ya kwanini mtuhumiwa huyo hafikishwi mahakamani.