Vrydag, September 07, 2018

Uhamiaji: Wachungaji Acheni Kualika Wahubiri Kutoka Nje Ya Nchi


Na.Faustine Gimu Galafoni,Dodoma.
Afisa uhamiaji katika jijini la Dodoma Edwin Mwasota amewataka wachungaji na viongozi mbalimbali wa madhehebu ya Kikristo mkoani Dodoma kuacha tabia ya kualika wachungaji kutoka nje ya Tanzania na kufanya mahubiri katika jiji hilo bila kibali Maalum.

TCRA yataka wateja wa DSTV, AZAM na ZUKU waliolipishwa kuwasilisha taarifa zao

Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania TCRA imewataka wateja visimbuzi vya DSTV, ZUKU na AZAM kutuma taarifa zao zinazoonesha na kuthibitisha kuwa wamekuwa wakilipia chaneli za ndani jambo ambalo ni kinyume na sheria.

Kuna hatari kubwa ukimchunguza mpenzi wako


MPENZI msomaji wangu, kilio cha wengi walio kwenye uhusiano ni kuhisi wanasalitiwa na wapenzi wao waliotokea kuwaamini sana. Wapo ambao si tu kwamba wanahisi bali wanawafumania kila kukicha wapenzi wao licha ya imani waliyokuwa wamejijengea kuwa wamepata wapenzi wanaowapenda kwa dhati.

Donderdag, September 06, 2018

MAGAZETI YA LEO 7/9/2018



TACOGA: Utandawazi umeharibu maadili kwa wanafunzi wa vyuo vikuu


Na James Timber, Mwanza
Chama cha Ushauri wa wanafunzi vyuoni (TACOGA) wametakiwa kuwaelimisha viongozi katika ngazi mbalimbali ya uongozi vyuoni, lengo likiwa kuepukana na changamoto za wanafunzi wanaofeli kutokana na kupungukiwa maadili mema pamoja na utandawazi.

Dawa Za Nywele Zinazosababisha Uvimbe Wa Kizazi Kwa Wanawake


Dawa za kulainisha nywele (relaxer) zimekuwa zinapendwa na wanawake wengi wa Afrika kwa kuwa zina uwezo wa kulainisha nywele na kumfanya apendeze na awe wa kuvutia.

Rais Magufuli aamuru Mwenyekiti wa Kijiji, Ofisa Mtendaji Nata wahojiwe Polisi

 Rais John Magufuli, amemuagiza Waziri wa Mambo ya Ndani, Kangi Lugola, kuwakamata na kuwahoji Mwenyekiti wa Kijiji cha Nata na Ofisa Mtendaji wa kijiji hicho, baada ya kutuhumiwa kula fedha za mapato za kijiji hicho.

Saterdag, September 01, 2018

WAZIRI WA NISHATI DK.MEDARD KALEMANI ATEMA CHECHE MKOANI NJOMBE



 Waziri wa Nishati DK.MEDARD KALEMANI amewataka Viongozi na wadau wa nishati kuwasaidia wananchi hususani wakazi wa mkoa wa Njombe kutunza

Woensdag, Augustus 29, 2018

Sababu na dalili za Kuharibika kwa Mimba

Sababu na dalili za Kuharibika kwa Mimba - Sehemu ya Kwanza
kutana na suruhisho lako kwa njia ya mtandao kwa masharti nafuuu juu ya mambo ya uzazi na mambo yote ya Afya ya binadamu kwa ushauri nasaha  Sambamba na hilo ushauri wa ndoa na namna ya kumtambua mwenzi wa kweli lakini pia unaweza kuwasiliana nami kwa ufafanuzi zaidi kwa kupiga simu nambari 0753121916 utaongea moja kwa moja na Prof:Chrispin Kalinga kuwa huru masaa 24
Utangulizi
Kuharibu/kuharibika kwa mimba kwa njia ya kutoa kiinitete (embryo) au mjusi (fetus) kabla ya kutimiza umri wa kuweza kuishi nje ya mfuko wa kizazi hujulikana kama abortion 1. Mimba inapoharibika yenyewe kabla ya kutimia umri wa

Maandag, Augustus 27, 2018

BREAKING: Lugola Amsweka Ndani Mkuu Wa Kituo Kikuu Polisi Mtwara Kwa Kushindwa Kuwaweka Watuhumiwa Mahabusu

Waziri wa Mambo ya Ndani, Kangi Lugola amemweka ndani Mkuu wa Kituo Kikuu cha Polisi mjini Mtwara (OCS), Ibrahim Mhando  kwa kushindwa kuwaweka mahabusu watuhumiwa wanne.

Mkurugenzi Wa Kituo Cha Uwekezaji TIC Akemea Tabia Ya Baadhi Ya Viongozi Wa Serikali Kutoa Matamko Na Kuwakamata Hovyo Wawekezaji Nchini

Mkurugenzi  Mtendaji wa Kituo cha Uwekezaji Tanzania(TIC) Godfrey Mwambe amewataka viongozi wa ngazi mbalimbali wakiwamo wakuu wa wilaya,wakuu wa mikoa na mawaziri kuacha kutoa matamko na maagizo kwa wawekezaji nchini.

Sondag, Augustus 26, 2018

BASATA watoa NENO kuhusu afya ya Ommy Dimpoz

Baraza la Sanaa Taifa (BASATA) halijakaa kimya kipindi hiki ambacho msanii wa Bongo Fleva  Ommy Dimpoz anaumwa.

Swali la Mwananchi lasababisha RC Mbeya kujivua uenyekiti wake wa CCM Iringa

Mkuu wa Mkoa wa Mbeya, Albert Chalamila amesema ameachia uenyekiti wa CCM Mkoa wa Iringa kwa maelezo kuwa ameambiwa achague nafasi moja.